• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

MKUU WA WILAYA YA NYASA AWATAKA WAKUU WA IDARA NA VITENGO KUFANYA MAZOEZI YA VIUNGO

Posted on: February 8th, 2020

Mkuu wa Wilaya Nyasa Bi Isabela Chilumba, leo ameongoza mazoezi ya viungo kwa Watumishi wa Wilaya ya Nyasa, yaliyofanyika  katika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Nyasa  yenye lengo la kuboresha afya za wafanyakazi wa Wilaya ya Nyasa.

Akizungumza  na wafanyakazi hao baada ya kumaliza kufanya mazoezi ya viungo aliwapongeza watumishi wote waliohudhuria mazoezi,  kwa kuwa mazoezi hujenga afya za wafanyakazi, na kuwataka kuendelea kufanya mazoezi  mara kwa mara, ili afya ziwe imara muda wote kwa kuwa pia mazoezi ni Tiba inayoweza kusaidia kukabiliana na magonjwa mbalimbali.

Amewaagiza Wakuu wa idara na vitengo kuhakikisha wanahudhuria bila kukosa mazoezini na kuhakikisha watumishi walioko chini yao nao wanahudhuria mara kwa mara ili kujenga afya za wafanya kazi.

“Nawaagiza wakuu wa Idara na Vitengo wote kuhakikisha kuwa mnahudhuria kwenye mazoezi na Watumishi wote Walioko chini yenu ili muweze kujenga afya za Zenu.

Afisa michezo wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Frorence Msuha alisema amefurahia kuona wafanyakazi wengi wanajitokeza kufanya mazoezi na kila anapotoa matangazo ya mazoezi kila anaporatibu.

 Aidha mazoezi yalikuwayakifanyioka kilajumamosi ya pili ya mwezi na watumishi hao wameomba kufanyika mazoezi hayo kila mwishoni mwa wiki ombi ambalo lilipokelewa na ofisa michezo huyo

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Karibu Mwenge wa Uhuru Wilayani Nyasa

    May 11, 2025
  • Mwenyekiti wa Tume huru ya Uchaguzi Tanzania akagua vituo vya kujiandikisha Nyasa.

    May 04, 2025
  • Dc Nyasa awataka madiwani na watendaji kubuni vyanzo vipya vya mapato

    April 30, 2025
  • DC Nyasa azindua Kituo kipya cha Mafuta

    April 26, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.