• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Mkuu wa Wilaya ya Nyasa akagua miradi ujenzi wa vyumba vya madarasa ya fedha za UVIKO

Posted on: November 24th, 2021

Mkuu wa wilaya ya Nyasa  Kanali Thomas Labani pamoja  na baadhi ya viongozi wa Halmashauri ya wilaya ya Nyasa wametembelea miradi  ya maendeleo ya ujenzi wa vyumba vya madarasa ya fedha za UVIKO19 Jumatatu ya November 22 , katika kata za wilaya ya Nyasa ikiwemo Ngumbo ,Mbaha na Lituhi.

Lengo la kutembelea Miradi hii ni ilikuweza kuona maendeleo ya miradi hiyo Pamoja na changamoto wanazopitia na kuhakikisha changamoto zote zinatatuliwa na miradi yote kukamilika kwa muda muafaka ambao ni Disemba 15.

Miradi yote imeanza kufanyika kwa wakati baadhi bado ipo nyuma kutokana na changamoto mbalimbali kama vile   upungufu wa nguvu za wananchi, lakini bado kazi inaendelea kwa kiwango kinachohitjika na ubora.

Aidha Kanali Thomas Labani amewasihi na kuwasisitiza  kamati zote za ujenzi wa miradi hiyo ya fedha za UVIKO19 kuongeza kasi katika ujenzi ili miradi iweze kuisha ndani ya wakati ifikapo Disemba 15,Pia amewataka kujenga madarasa kwa kufata vipimo na ubora wa hali ya juu ili kuweza kuepuka gharama za marekebisho pindi jengo litakapo kamilika bila kuwa na ubora unaohitajika.

Mkurugenzi Mtendaji ndug Jimson Mhagama, amesema kuwa kamati zote zinazohusika na ujenzi huo kufuata  taratibu zote za manunuzi katika kufanya manunuzi ya vifaa vya viwandani ,pia ametoa msisitizo katika kuhimiza nguvu za wananchi katika miradi hiyo.

Baadhi ya wanakamati wa miradi hiyo wameahidi kutoa ushirikiano katika kuhakikisha nguvu za wananchi zinapatikana pia wameahidi kumaliza ujenzi huo wa miradi ya UVIKO19 ndani ya muda unaotakiwa.

Ujenzi wa Miradi yote ya fedha za UVIKO19 inaendelea wilayani Nyasa kila kata inahakikisha inaenda na wakati ili ifikikapo disemba 15 kumaliza miradi hiyo.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.