• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

MKUU WA WILAYA YA NYASA AANZISHA LIGI" UCHAGUZI CUP

Posted on: October 1st, 2019


Mkuu wa Wilaya ya Nyasa  Bi Isabela Chilumba, ameanzisha ligi ya Mpira wa miguu ya  “ Uchaguzi Cup” yenye lengo la kuhamasisha wananchi, kujiandikisha na kupiga kura katika uchaguzi wa Serikali za mitaa, utakaofanyika novemba 24  mwaka huu.

Ligi ya “ Uchguzi cup ” inafanyika katika viwanja vya michezo vya mbamba-bay na Kilosa   Wilayani hapa na inashirikisha timu kumi na tatu (13) za mpira wa miguu za wilayani hapa.

Akifungua Ligi hiyo,  jana katika uwanja wa Polisi Mbamba-bay wilayani hapa Bi Chilumba, aliwataka wananchi wa Wilaya ya Nyasa kujitokeza kwa wingi katika michezo ya ligi hiyo, kwa kuwa watapata burudani ya mpira wa miguu bila kiingilio chochote.

Alifafanua kuwa, lengo la mashindano  ni kuwahamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha, na kupiga kura katika uchaguzi wa Serikali za mitaa utakaofanyika Novemba 24 mwaka huu kwa kuwachagua viongozi wa Vijiji na Vitongoji.

Bi Chilumba aliongeza kuwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni wa muhimu sana kwa kuwa viongozi hawa ndio wanaoishi  moja kwa moja na wananchi na wanatoa maamuzi kwa ngazi za Serikali za Mitaa hivyo wananchi wanatakiwa kuhamasika,  na kuwachagua vongozi wanaowafaa.

Alitoa wito maalum kwa vijana  kujitokeza kugombea nafasi za uongozi wa Serikali za mitaa kwa kuiga mfano wa Mh.Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John pombe Magufuli kwa kuwa Teuzi nyingi anazozifanya zinajumuisha vijana wengi.

Mchezo wa ufunguzi wa ligi hiyo ulizikutanisha Timu za Likwilu fc na Linda Fc na matokeo timu hizo zilikwenda suluhu ya magoli mawili kwa mawili.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.