• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

MKUU WA MKOA WA RUVUMA AWATAKA WAVUVI WA ZIWA NYASA KUACHA KUVUA KWA KUTUMIA NJIA NA ZANA ZILIZOKATAZWA.

Posted on: November 9th, 2018

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma  Bi.Christine Mdeme amewataka wananchi kupambana na uvuvi haramu katika ziwa nyasa na kuwachukulia hatua watu wote wanatakaobainika kutumia kukiuka sharia ya kuvua samaki wadogo wadogo.

Ameyasema hayo hivi karibuni wakati akifanya mkutano wa hadhara katika  Kituo cha afya Kihagara kata ya Kihagara mkutano uliokuwa ni wa kuongea na kutatua matatizo ya wananchi wa kata ya Kihagara ambao walipata fursa ya kutoa Kero na changamoto zinazowakabili wananchi wa kata ya Kihagara.

Bi.Mdeme alifafanua kuwa tuna kila sababu ya kutunza maliasili zetu ili ziweze kuzifaidisha vizazi vyote vya sasa na vya baadae kwa kuwa kufanya hivyo kutatupelekea taifa letu kuwa na maendeleo hivyo aliagiza kuanzia sasa uongozi wa kijiji kulinda na kuhifadhi raslimali za uvuvi kwa kuhakikisha nyavu zote haramu zinakamatwa.

Mdeme aliwaonya wale wote wenye tabia ya kuvuna samaki wachanga kuchukuliwa hatua kali za kisheria kwa kuwa ni wauaji wa viumbe hai vinavyostahili kuishi kwa mujibu wa sharia  na wananchi wote tunawafahamu wale wote wenye nyavu haramu kwa hiyo tunatakiwa kuwa waangalifu na hawa watu ambao wanaua samaki wetu.

“naagiza kuanzia leo uvuvi haramu ni marufuku,uongozi wa Halmashauri, kata na vijiji naagiza tena marufuku mtu kuvua akiwa na nyavu haramu na kama akitokea nitakamata uongozi wote wa kijiji na kata na kuweka ndani kwa kuwa siamini uhalifu ufanyike ndani ya kijiji au kata viongozi wasiwe na taarifa ninachokijua watakuwa na maslahi na uvuvi haramu huo.

Wananchi wa kata hiyo ya kihagara walikubaliana na mkuu huyo na kumuahidi yote aliyose watayazingatia kwa kuacha na kutoa taarifa za walea wote watakaobainika kukiuka agizo hilo.

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma alifanya ziara ya siku mbili (Tar 07 & 08 Nov 2018 ) kwa kutembelea Miradi mbalimbali na kufanya mkutano wa hadhara katika kata ya Kihagara.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • UTEKELEZAJI KAMPENI YA CHANJO YA MIFUGO YAANZA NYASA

    July 12, 2025
  • MAKUNDI SOGOZI YA WHATSAAP YAPASWA KUJADILI MAENDELEO

    July 12, 2025
  • DC MAGIRI AZINDUA RASMI BODI YA MAJI WILAYA YA NYASA

    July 12, 2025
  • DKT.SAMIA AMWAGA TENA MAMILIONI YA MIRADI NYASA

    July 10, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.