• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

MKUU WA MKOA RUVUMA AWAPONGEZA WAKULIMA KWA KUONGOZA UZALISHAJI WA MAZAO NCHINI

Posted on: July 31st, 2020

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amewapongeza wananchi wa Mkoa wa Ruvuma kwa kushika nafasi ya kwanza katika uzalishaji wa mazao ya chakula nchini katika msimu wa kilimo  2018/2019.

Takwimu za uzalishaji wa mahindi  katika msimu wa mwaka 2015/2016 zinaonesha Mkoa wa Ruvuma ulilima Hekta 231,936.6 zilizotoa mavuno ya Tani 736,692.8 na katika msimu wa mwaka 2019/2020 Mkoa wa Ruvuma ulilima hekta 268,008 zilizotoa mavuno ya Tani 787,321 hii ni sawa na ongezeko la Tani 50,628.

Mndeme amesema Mafanikio hayo yametokana na uwepo wa nguvu kazi ya kutosha na utayari wa wananchi kushiriki katika shughuli za uzalishaji ambapo hadi sasa Mkoa una  chakula cha kutosha na ziada.

“Mkoa una jumla ya hekta 4,007,746 za ardhi zinazofaa kwa kilimo, katika kipindi cha Miaka mitano kuanzia mwaka 2015 - 2020 Mkoa umeweza kuzalisha tani 8,547,816 za mazao hadi kufikia mwaka 2020’’,alisisitiza.

Hata hivyo Mndeme ameyataja Mahitaji ya chakula katika Mkoa wa Ruvuma kwa mwaka 2020 ni tani 469,172 ikilinganishwa na uzalishaji wa mazao ya chakula ni tani 1,346,220 na hivyo Mkoa una ziada ya chakula tani 877,048.

Kulingana na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma,zao la Mahindi linaongoza kwa kulimwa kwenye maeneo mengi  hivyo kulifanya kuwa zao la chakula na biashara ambapo msimu wa kilimo wa mwaka 2019/20 Mkoa ulizalisha tani 787,321 katika hekta 268,008.

Amesema uzalishaji huo umechangiwa na matumizi ya zana bora za kilimo na matumizi ya pembejeo za Kilimo  kama mbolea na mbegu bora na kwamba matumizi ya mbolea yamekuwa yakiongezeka mwaka hadi mwaka.

 Takwimu zinaonesha kuwa toka mwaka 2015 hadi kufikia 2020 mbolea iliyotumika katika Mkoa wa Ruvuma ni Jumla ya tani 167,758.5 ambapo Mkuu wa Mkoa amesema kiasi hicho cha mbolea kimepatikana kutokana na Serikali kuandaa mazingira mazuri ya uingizaji wa mbolea nchini.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.