• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

MKURUGENZI NYASA AHAMASISHA NGUVU ZA WANANCHI

Posted on: May 3rd, 2019

Mkurugenzi mtendaji wa wilaya ya Nyasa Jimson Mhagama amewataka wananchi wa Wilaya ya Nyasa kujenga miundombinu ya miradi ya maendeleo kwa kuchangia nguvu zao kuanzia msingi hadi lenta ili kuunga juhudi za Serikali badala ya kuiachia serikali peke yake.

Aliyasema hayo hivi karibuni akiwa katika kata ya lipingo Wilayani hapa akiwa katika ziara ya  kujitambulisha kwa watumishi na wananchi na kukagua ujenzi wa zahanati ya Ngindo iliyopo katika kata hiyo.

Mhagama alifafanua kuwa wananchi wana kila sababu ya kuhakikisha kuwa wanajitoa kwa kuchangia miradi ya maendeleo ili kuwe na maendeleo, na wananchi wakichangia nguvu zao  wanakuwa na uwezo wa kujenga miundombinu na kutatua kero zilizoko katika maeneo yao kwa kuwa inakuwa imeshirikisha jamii.

Aliongeza kuwa wananchi wanatakiwa kuibua miradi ya maendeleo ambayo ni kero katika kata au kijiji na kuanza kujenga hadi kufikia lenta na hatimaye Serikali itaezeka na kununua vifaa vya viwandani na kukamilisha miundombinu hiyo.

Alitoa wito kwa wananchi wa kijiji cha Ngindo kata ya Lipingo kujitoa na kuendeleza ujenzi wa Zahanati ambayo imefikia ngazi ya msingi ili wajenge hadi ngazi ya lenta ndipo Serikali itaweza kukamilisha jengo hilo.

“wanajamii wa kata ya Lipingo tunatakiwa kujitoa kwa kuchangia ujenzi huu wa Zahanati ya Ngindo ambao upo ngazi ya msingi serkali haiwezi kukamilisha kwa hapo mlipofikia,mnatakiwa kuongeza juhudi za hali na mali kwa kuwa serikali iko nyuma yenu. Na mkichangia ujenzi huu hata jamii inakuwa na ari ya kutunza miundombinu hii hata mtu akitaka kuiba dirisha wote mtamzuia lakini ikijenga serikali peke yake hamtakuwa na uchungu wa aina yoyote”.alisema mkurugenzi huyo.

 Alitoa wito kwa wananchi wa kijiji cha Ngindo kata ya Lipingo kujitoa na kuendeleza ujenzi wa Zahanati ambayo imefikia ngazi ya msingi ili wajenge hadi ngazi ya lenta ndipo Serikali itaweza kukamilisha jengo hilo.

Awali Diwani wa Kata ya Lipingo Casbetth Ngwata kwa niaba ya wananchi wa kata hiyo alimuomba Mkururugenzi Mhagama kutatua kero ya ujenzi wa Zahanati ya Lipingo kwa kuwa imekaa kwa muda mrefu bila kuendelezwa ikwa imefika hatua hiyo ya msingi na hamna juhudi zinazofanywa na wananchi katika kuliendeleza jengo hilo.

Wananchi hao waliahidi kujitolea nguvu zao na kuhakikisha jengo hilo linafikia hatua ya lenta ili Serikali iweze kukamilisha na kuanza kutumia Zahanati hiyo ikiwa inalengo la kutatua kero ya wananchi wa kata hiyo kwa kuwa wanalazimika kutembea umbali mrefu kufuata huduma za afya.

IMIETOLEWA NA

NETHO C.SICHALI

AFISA HABARI NYASA DC

0767417597

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Karibu Mwenge wa Uhuru Wilayani Nyasa

    May 11, 2025
  • Mwenyekiti wa Tume huru ya Uchaguzi Tanzania akagua vituo vya kujiandikisha Nyasa.

    May 04, 2025
  • Dc Nyasa awataka madiwani na watendaji kubuni vyanzo vipya vya mapato

    April 30, 2025
  • DC Nyasa azindua Kituo kipya cha Mafuta

    April 26, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.