• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Mkataba wa Huduma Jumuishi yasainiwa Ruvuma

Posted on: December 13th, 2024

MIKATABA HUDUMA JUMUISHI YASAINIWA RUVUMA

MIKATABA ya utoaji huduma jumuishi za UKIMWI na kifua kikuu  kupitia mradi wa USAID Afya yangu Kanda ya Kusini katika kipindi cha mwaka 2024/2025 imesainiwa  mkoani Ruvuma.

 Hafla ya kusaini mikataba hiyo imeshirikisha wakurugenzi wa Halmashauri zote nane mkoani Ruvuma na kufanyika kwenye viwanja vya ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma mjini Songea ambapo mgeni rasmi aliikuwa ni Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Ndugu Joel Mbewa.

Akizungumza kwenye hafla hiyo Mbewa amesema   Utekelezaji Wa Bajeti ya mwaka 2024/2025 kupitia Mradi wa USAID AFYA YANGU Kanda ya kusini kwa ngazi ya Mkoa, Halmashauri na Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, wanatekeleza  afua za UKIMWI,Kifua Kikuu na huduma jumuishi za uzazi wa Mpango na Jinsia.


“Katika kipindi cha mwaka 2024/2025 Serikali ya Marekani imetenga jumla ya fedha kiasi cha TZS.4,14,873,990.55 kwa ajili ya kusaidia shughuli za utoaji wa huduma za UKIMWI na Kifua Kikuu kupitia Mamlaka ya Mkoa, Halmashauri zote Vituo vya Mashirika ya Dini na Asasi ya kiraia ya ROA’’,alisema


 Amesema Serikali ya Marekani kupitia Mfuko wa Dharura wa Rais wa Marekani wa kukabiliana na UKIMWI (PEPFAR) na Shirika na Maendeleo la Marekani (USAID) kupitia  Mradi wa USAID Afya Yangu Kanda ya Kusini, inasaidia Vituo 135 Sawa na asilimia 89.4 kati ya 151 vinavyotoa Huduma za Kliniki ya Tiba na Matunzo (CTC) Katika Mkoa.


Amebainisha kuwa kati ya fedha zitakazotolewa   kiasi cha TZS.3,072,313,570.85 Sawa na asilimia 74.2 zitatolewa kwa Taasisi za Serikali  ukiwemo Mkoa na Halmashauri zake zote.

Hata hivyo amesema kiasi cha  shilingi 259,915.70 sawa na asilimia 6.2 zitatolewa kwa vituo viwili vya Mashirika ya Dini (FBO), na  shilingi 810,311,504.00 sawa na asilimia 19.6 zitatolewa kwa Asasi ya Kiraia ya ROA inayofanya kazi Katika Halmashauri zote.


Naye Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma  Hilda  Ndambalilo, amesema Mradi wa USID Afya Yangu Kanda ya Kusini unalenga kusaidia na Serikali ya Tanzania Kutoa Huduma bora jumuishi za matunzo , matibabu, na kuzuia maambukizi ya VVU na Kifua Kikuu ambazo zitaboresha matokeo chanya ya afya, hasa kwa vijana na watoto

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.