• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Milioni 724 kujenga majengo ya Kisasa,mradi wa BOOST

Posted on: July 4th, 2023

Serikali imetoa shilingi milioni 724 kwa ajili kutekeleza miradi wa uboreshaji miundombinu ya shule za msingi na shule za shule za awali (BOOST) katika Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma.

Hayo yamesemwa na kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Christopher Ngonyani  wakati akitoa taarifa ya utekelezaji wa miradi hiyo kwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas alipofanya ziara ya kutembelea na kukagua miradi hiyo Julai 3, 2023.

Amesema fedha hizo zimetumika kutekeleza miradi ya BOOST katika Shule tano ambapo zimeelekezwa kwenye miundombinu ya vyumba vya madarasa, jengo la utawala, Nyumba za Walimu na matundu ya vyoo

“kati ya fedha hizo shilingi milioni 331 zinajenga Shule mpya ya mkondo mmoja shule ya msingi Kilosa iliyopo kata ya Kilosa ambapo mradi unahusisha ujenzi wa vyumba tisa vya madarasa, matundu 16 ya vyoo na jengo la utawala ” alisema Ngonyani.

Akizungumza mara baada ya kukagua mradi wa ujenzi wa shule mpya ya msingi Kilosa na ujenzi wa madarasa matatu katika shule ya msingi Nangombo, Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amewataka wasimaizi wa miradi  kuifuatilia na kusimamia kikamilifu

Kanali Thomas amesema ameona dosari nyingi ambazo zimetokana nawataalamu pamoja na wasimamizi kushindwa kuja kuitembelea na kuikagua miradi hiyo  mara kwa mara kwasababu wao ndio mwenye dhamana kubwa ya ufuatiliaji wa miradi ya Serikali.

Pia amewataka na kuwahimiza Wanachi kujijengea tabia ya kufutalia na kuhoji matumizi na mapato ya kila fedha ambayo Serikali imetoa kuteleza mradi kwenye maeneo yao kwani itasahidia kuziba myanya ya matumizi mabaya ya fedha za Serikali na upotevu wa vifaa vya ujenzi.

“Maendeleo yanapoletwa kwenye maeneo yenu simamamieni  haya maendeleo ni ya kwenu hawa wataalamu wanapita tu ila nyinyi mtabaki niwaombe simamieni hii ni miradi yenu Mhe, Rais anapowaletea miradi ioneni kama ya kwenu na wala msiruhusu wizi au mtu kualibu miradi hii” amesisitiza Kanali Thoams.

Hata hivyo amewaagiza watalaamu na wasimamizi wa miradi kuacha kuwaficha wale wote ambao wamekuwa kikwazo cha kuicheleweshaji miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa fedha za Serikali


Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • TAARIFA YA MAENDELEO YA JAMII

    June 26, 2025
  • KICHEKO CHATAWALA TAFRIJA YA KUWAAGA MADIWANI

    June 19, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.