• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

MILIONI 485 KUJENGA MIUNDOMBINU YA ELIMU NYASA DC

Posted on: July 9th, 2025

Na Byarugaba Innocent, Nyasa DC

Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendeleza ujenzi wa miundombinu kwenye sekta ya elimu ndani ya halmashauri ya wilaya ya Nyasa kwa lengo la kuweka mazingira bora na wezeshi ya kujifunza na kujifunzia.

Kaimu mkuu wa divisheni ya mipango na uratibu Aliko Anthony Mwabukusi ameeleza kuwa jumla ya milioni 485 zimepokelewa  huku akitaja miundombinu  inayojengwa kuwa  ni mabweni mawili  shule ya sekondari Nyasa yatakayogharimu milioni 256,000,000 vyumba vitatu vya madarasa shule ya Msingi Ndesule vitakavyogharimu milioni 72,000,000 nyumba moja ya kuishi  watumishi mawili  (two in one) kwa gharama  ya shilingi milioni 51,000,000, kituo cha walimu (TRC) kitakachogharimu shilingi milioni 48,000,000 pamoja na  kuongeza matundu  ya vyoo kwenye shule ya msingi Mseto.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Khalid Khalif  amemshukuru sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuingarisha  Nyasa kwenye Sekta ya Elimu.

Aidha, Khalid ametoa rai kwa walimu wote kuunga mkono juhudi  za kwa kuongeza kasi  ya ufundishaji kama ishara ya kuipokea miundombinu hiyo kwa vitendo  ili kutimiza ndoto  na maono ya Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan kuhakikisha watoto wanafikia matarajio yao Kielimu

Kwa mujibu wa Sensa ya watu na Makazi ya Mwaka 2022, Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa  yenye tarafa 3 na kata 20 ina jumla ya wakazi 191,193 wanaume wakiwa 93,494 sawa na asimilia 48.9 na wanawake 97,699 sawa  na asilimia  51.

Aidha, Halmashauri ya wilaya ya Nyasa ina jumla ya shule za Msingi 116 za Serikali na shule za sekondari 23 za Serikali na 1 ya binafsi.

 

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • UTEKELEZAJI KAMPENI YA CHANJO YA MIFUGO YAANZA NYASA

    July 12, 2025
  • MAKUNDI SOGOZI YA WHATSAAP YAPASWA KUJADILI MAENDELEO

    July 12, 2025
  • DC MAGIRI AZINDUA RASMI BODI YA MAJI WILAYA YA NYASA

    July 12, 2025
  • DKT.SAMIA AMWAGA TENA MAMILIONI YA MIRADI NYASA

    July 10, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.