• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

MIKUTANO YA VIJIJI KUTEUA WANUFAIKA TASAF

Posted on: May 4th, 2021

Afisa Ufuatiliaji kutoka makao makuu ya  TASAF Bw. Salumu Mshana amewataka wananchi wa Wilaya ya Nyasa  kushirikiana ili kuwapata wanufaika Mpango wa TASAF.

Ameyasema hayo hivi karibuni wakati akifanya ufuatiliaji wa uibuaji wa wanufaika wa mpango wa TASAF wakati wa mikutano ya Hadhara iliyofanyika katika Kijiji cha Ukuli Kata ya Kingerikiti na Kijiji cha Luhangarasi Kata ya Luhangarasi Wilayani Nyasa akiwa anafuatilia jinsi zoezi la uibuaji linavyoendelea.

Bw. Mshana amefafanua kuwa amelazimika kufanya ufuatiliaji  ikiwa ni jukumu lake la  kuhamasisha jamii na aweze kuona kwa macho jamii inahusikaje kuandaa wanufaika wa  Mpango wa kunusuru kaya maskini kipindi cha pili TASAF ili uweze kufanikiwa kwa kuwapata wanufaika wakidhi vigezo.

Ameongeza kuwa Tayari mafunzo yametolewa kwa viongozi wa Wilaya na wawezeshaji ngazi ya jamii na wako katika vijiji vyetu 32 ambavyo awali havkuwa katika mpango.hivyo mameitaka jamii kuhudhuria katika mikutano inayoitishwa na viongozi wao na kuwaibua walengwa waliokidhi vigezo.Ametoa wito kwa wananchi kushiriki kikamilifu zoezi hilo ili liweze kukamilika kwa ufasaha.

“Nichukue fursa hii kuwaomba mshiriki kikamilifu kuwaibua wanufaika wanaostahili kwa kuwa mpango huu umeanza muda mrefu na umepitia changamoto mbalimbali sasa tunawataka wananchi wote mjitokeze kwa wingi katika mikutano ya kuwaibua wanufaika ili tuwapate kwa vigezo vya kitaifa na vigezo ambavyo wamepewa na wawezeshaji.

Aidha, amepongeza kwa kujitokeza kwa wingi katika mikutano na kuwaomba waendelee na mchakato mpaka ukamilike kwa kufuata utaratibu waliojiwekea kwa kushirikiana na wawezeshaji ambao wamepewa mafunzo kwa ajili ya kutekeleza zoezi la utambuzi wa wanufaika hao.

Kwa upande wao Viongozi wa Vijiji na wawezeshaji pamoja na wananchi wamemhakikishia afisa huyo kuwa watashirikiana, na kuwapata walengwa wanaostahili kwa kufuata miongozo waliyopewa na wawezeshaji.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.