• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Mhe. Magiri awataka Wananchi wa wilaya ya Nyasa kujiandaa kupokea mabadiliko makubwa ya kimaendeleo wilayani Nyasa

Posted on: February 17th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mhe. Peres Magiri amewataka Wananchi wa wilaya ya Nyasa kujiandaa na mabadiliko makubwa ya kimaendeleo yanayokwenda kutokea muda mfupi ujao.


Ameyasema hayo Tarehe 17/02/2025 wakati akiongoza kikao cha Kamati ya Ushauri ya Wilaya (DCC) kilichofanyika  katika Ukumbi wa Ofisi ya Mkurugenzi mtendaji wilaya ya Nyasa.

Mhe.Magiri amefafanua kuwa Wilaya ya Nyasa inakwenda kupata mabadiliko makubwa ya kimaendeleo yanayokwenda kufungua fursa za kimaendeleo wilayani hapa Kwa kuwa Kuna fursa mbalimbali.


Amezitaja fursa Hizo kuwa ni Ujenzi wa Bandari ya Mbamba bay ambayo, ikikamilika itakuwa kitovu Cha biashara Kwa kuwa kutakuwa na wafanyabiashara wakubwa, ambao waliokuwa wanapatikana kariakoo Dar es salaam, watakuja kujenga maduka hapa Nyasa na kufanya biashara na Wananchi wa N hi za Malawi na msumbiji pamoja na Tanzania na  Utalii wa Ndani Kwa kuwa hapa Nyasa tuna Ziwa Nyasa na vivutio vingi vya Utalii kama Fukwe za Ziwa Nyasa , Mlima Mbamba, Kisiwa Cha Mbamba bay na Lundo , hivyo tunatakiwa kujiandaa ili kukutana na fursa Hizo.


Amewataka Wananchi na watumishi kuweka mikakati ya kunufaika na fursa za uwekezaji zinazopatikana wilayani Nyasa kama vile ujenzi wa hoteli, Nyumba za kalala wageni, na maeneo ya Uwekezaji


Pamoja na mambo mengine yaliyojadiliwa, kikao hicho kimepitisha mapendekezo ya bajeti ya Mwaka 2025/2026 Kwa Divisheni na Taasisi .


Ametoa wito Kwa Watumishi kufanya kazi Kwa bidii na kutoa huduma Bora Kwa Wananchi na kutekeleza miradi ya maendeleo Kwa wakati na ubora.


Mhe. Magiri amewaagiza watumishi kutatua Kero za Wananchi Kwa wakati ili kuondokana na malalamiko ya Wananchi na kujenga Utawala Bora ili maendeleo yasonge mbele katika wilaya ya Nyasa.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.