• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

MGOMBEA UDIWANI CCM APITA BILA KUPINGWA.

Posted on: November 5th, 2018

Mgombea udiwani kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi katika kata ya Mtipwili Wilaya ya Nyasa Richard Chiwalo ameshinda kiti hicho mara baada ya kupita bila kupingwa.

Kwa mujibu wa msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Nyasa Dkt Oscar Mbyuzi aliyasema hayo jana katika Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Nyasa wakati akiongea na mwandishi wa habari hizi.

Dkt Mbyuzi alifafanua kuwa mgombea huyo kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi ameshinda kiti hicho bila kupingwa kwa kuwa hakukuwa na chama kingine chochote cha siasa kilichojitokeza katika uchaguzi huo hivyo kwa mujibu wa kanuni ya Uchaguzi namba 25 (5) hakutakuwa na uchaguzi tena kwa kuwa uchaguzi huo ulikuwa ufanyike desemba 2 mwaka huu.

Aliongeza kuwa kinachosubiriwa kwa sasa ni siku ya desemba 2 atakabidhiwa cheti chake cha ushindi na kumuapisha ili aweze kuendelea na majukumu yake ya kazi ya udiwani katika kata yake ya Mtipwili katika wilaya hii

“mgombea wa chama cha mapinduzi (ccm) ameshinda bila kupingwa na hakukuwa na mgombea mwingine hadi muda wa kuchukua fomu unakwisha kwa wagombea hivyo hatutakuwa na uchaguzi tena na tunachosubiri ni siku ya tarehe 2 Desemba tutampa cheti cha ushindi na kumuapisha ili aweze kuwatumikia wapiga kura wake”.

Richard Chiwalo alikuwa Diwani wa kata ya Mtipwili kwa tiketi ya chama cha democrasia na maendeleo (CHADEMA) na Oktoba 2 mwaka huu alijiuzuru wadhifa huo na kukihama chama hicho na kuhamia chama cha Mapinduzi kutokana na kuridhishwa na utendaji kazi wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt.John Magufuli na Mbunge wa Jimbo la Nyasa Ambaye pia ni Naibu Waziri wa Biashara Miundombinu na Uwekezaji Mhandisi Stella Manyanya.

Announcements

  • Tangazo la nafasi za kazi Halmashauri ya wilaya ya Nyasa December 01, 2025
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • TANGAZO la nafasi ya kazi February 03, 2023
  • View All

Latest News

  • Balozi wa Tanzania nchini Malawi atembelea Wilaya ya Nyasa

    December 06, 2025
  • Maonesho ya Nane Nane Kanda za Nyanda za juu kusini , Mguu sawa Kuanza leo

    August 01, 2025
  • UTEKELEZAJI KAMPENI YA CHANJO YA MIFUGO YAANZA NYASA

    July 12, 2025
  • MAKUNDI SOGOZI YA WHATSAAP YAPASWA KUJADILI MAENDELEO

    July 12, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.