• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Meli ya Mizigo ziwa Nyasa yatia Nanga Mbamba bay..

Posted on: September 18th, 2017

  Meli ya Mizigo ya Mv Njombe iliyozinduliwa na Waziri Mkuu Mh.Kassim Majaliwa huko Itungi Wilayani Kyela imefika kwa mara ya kwanza katika Bandari ya mji wa Mbamba bay kwa madhumuni ya kuionyesha Meli hiyo kwa Wananchi na kuwatangazia kuanza kwa safari zake na kutoa fursa kwa wafanya biashara kuanza kuitumia katika kusafirishia mizigo kwenye ziwa Nyasa kupitia bandari zote zilizoko mwambao mwa ziwa hilo nchini na nchi jirani za Malawi na Msumbiji.

Akizungumza na wananchi mbali mbali waliofurika bandarini kuitazama Meli hiyo Kiongozi wa Meli Amesema kuanza kwa safari za Meli hiyo iliyojengwa na Watanzania na kugharimu sh. bilioni 11.253 ikiwa ni utekelezaji wa ahadi ya Rais Dkt. John Magufuli alizozitoa katika Kampeni za uchaguzi mwaka 2015 inakwenda kutatua changamoto ya usafiri wa abiria na mizigo katika ziwa Nyasa na kuongeza fursa za usafirishaji wa Mizigo mikubwa kwa garama nafuu na kuifungua Mbamba bay badala ya kutegemea njia moja tu ya Mbinga.

Amesema ni jambo la faraja na la kujivunia kwa Serikali na wananchi kwa pamoja kushuhudia meli zilizotengenezwa na Mtanzania, zikiwa zimekamilika tayari kwa kuanza kazi ya kuwahudumia wananchi, ambapo awali suala hilo lilikuwa likifanywa na raia wa kigeni.

Amewaomba Wananchi kuitangaza Meli hiyo pamoja na ile ya MV.Mbeya na kuwaomba wafanya biashara kuitumia na kuhakikisha haisafiri bila kuwa na mizigo ya kutosha kwa kuwa hiki ni chombo cha Watanzania.

Wakizungumza juu ya Kufika na kuanza kazi kwa Meli hiyo yenye uwezo wa kubeba tani 1,000 Wananchi wa mji wa Mbamba bay wamesema changamoto ya usafiri wa mizigo katika ziwa Nyasa itakuwa historia kwani meli hizi zitarahisisha usafiri na kupanua wigo wa biashara kati ya Tanzania na nchi za Malawi na Msumbiji, hivyo tunamshukuru Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli kwa kutoa ahadi hii ambayo leo utekelezaji wake umekamilika.”

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Mwenyekiti wa Tume huru ya Uchaguzi Tanzania akagua vituo vya kujiandikisha Nyasa.

    May 04, 2025
  • Dc Nyasa awataka madiwani na watendaji kubuni vyanzo vipya vya mapato

    April 30, 2025
  • DC Nyasa azindua Kituo kipya cha Mafuta

    April 26, 2025
  • Wilaya ya Nyasa yaadhimisha miaka 61 ya Muungano kwa Kufanya Usafi

    April 26, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.