• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

MBUNGE WA NYASA ATOA MSAADA WA BAISKELI KWA MLEMAVU.

Posted on: November 5th, 2018

Mbunge wa jimbo la Nyasa Mhandisi stella Manyanya ambaye pia ni Naibu Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji amemkabidhi baiskeli yenye thamani ya Tsh1,500,000/=( milioni moja laki tano) mlemavu wa miguu ikiwa ni ahadi yake aliyoitoa alipofanya ziara katika Kijiji cha malini kata ya Mtipwili Hivi karibuni Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma.

Baiskeli hiyo imekabidhiwa leo (05-11-2018) na Katibu wa mbunge ndugu Cosmas Nyoni Nyumbani kwa John Mapunda ambaye ni mlemavu anayeishi katika kijiji cha Malini Kata ya Mtipwili Wilayani hapa ili kumrahisishia kutembea mlemavu huyo ambaye alikuwa akitambaa.

Manyanya alifafanua kuwa kwa kushirikiana na mwanae anayeitwa Hope exaveria ambaye pia ni mlemavu aliamua kumsaidia baiskeli hiyo mlemavu huyo kwa kuwa akiwa katika ziara yake alipokuwa kijiji cha Malimi alipokea ombi la Mlemavu huyo kuomba Baiskeli kwa kuwa alikuwa anapata shida ya kutembea na kubadilishana mawazo na wenzake hivyo baiskeli itamsaidia kutembea na kubadilishana mawazo na ndugu wenzie.

Aliongeza kuwa anatambua sana ulemavu kwa kuwa ana mtoto ambaye ni mlemavu na anaona walemavu nao ni binadamu kama walivyo binadamu wengine ambao wanahitaji upendo na kuthaminiwa ikiwa ni pamoja na kusaidiwa au kutatuliwa changamoto zao.

“Nimetumwa na Mbunge Stella Manyanya ili nikuletee baiskeli ambayo ulimuomba akiwa ziarani katika kijiji hiki cha Malini kama tunavyomfahamu Mbunge wetu kila anachoahidi anakitekeleza na leo hii amekuletea kwa kushirikiana na mwanae anayeitwa Hope Exaveria ambaye naye ni mlemavu wamekubaliana kukusaidia wewe ili uweze kutembea vizuri na kubadilishana mawazo na marafiki zako na ndugu jamaa na marafiki”alisema Katibu huyo wa Mbunge.

Akipokea msaada huo ndugu John Mapunda alimshukuru sana Mbunge na kusema kuwa kabla ya kupata baiskeli hiyo alikuwa anapata shida ya kutembea kwa kuwa alikuwa anatembea kwa kutambaa kwa shida lakini mara baada ya kupata baiskeli hiyo atapata fursa ya kuwatembelea ndugu jamaa na marafiki na wakati mwingine atakuwa akibadilishana mawazo na rafiki zake kijiweni.

Mh Manyanya amekuwa na kawaida ya kuwasaidia watu wenye mahitaji maalum na hivi karibuni akiwa katika ziara ya siku nane katika Tarafa ya Mpepo Katika Kijiji cha Lunyele shule ya msingi Lunyele alitoa ushauri wa matibabu kwa watoto watatu waliozaliwa katika familia tatu tofauti  na kumwagiza Mganga mkuu  wa Wilaya ya Nyasa kwenda kuwapa ushauri wa kitaalam watoto watatu ambao walizaliwa wakiwa na vichwa vikubwa wazazi wao wakiwa hawajui cha kufanya.

Naye Mwenyekiti wa kijiji cha Malini Kata ya Mtipwili alimshukuru sana kwa kuwajali na kuwasaidi wananchi wake wenye mahitaji maalum na kumwomba aendelee na moyo huo.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • TAARIFA YA MAENDELEO YA JAMII

    June 26, 2025
  • KICHEKO CHATAWALA TAFRIJA YA KUWAAGA MADIWANI

    June 19, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.