• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Mbunge wa Jimbo la Nyasa mhandisi Stella Manyanya akabidhi chakula kwa waathirika wa mafuriko, Lituhi

Posted on: May 11th, 2024

Mbunge wa Jimbo la Nyasa mhandisi Stella Manyanya amekabidhi chakula kwa waathirika wa mafuriko yaliyotokea hivi karibuni katika Kata ya Lituhi wilayani Nyasa.

Makabidhiano yamefanyika tarehe 11/05/2024 na mwakilishi wa mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Nyasa Bw.shanel Mbunda, aliyeambatana na Katibu wa Mbunge Manyanya bw.Moses Nchimbi, katika viwanja vya Ofisi ya Afisa Mtendaji Kijiji Cha Kihuru Kata ya Lituhi.

Akikabidhi chakula hicho kwa waathirika wa mafuriko, amesema ametumwa na mbunge wa Jimbo la Nyasa mhandisi Stella Manyanya aje awape pole na kuwakabidhi chakula, kwa kuwa baada ya mafuriko kubomoa nyumba za wakazi wa Lituhi, na baadhi ya mashamba kuharibika ameona ni vema awape pole na kuwapa chakula kwa kuwa wanauhitaji.

Amefafanua kuwa baada ya kutokea mafuriko amefanya juhudi mbalimbali za kuomba msaada sehemu mbalimbali, hivyo amewataka kuwa pole, na kupokea kidogo alichowapa.

Amekitaja chakula alichotoa ni mchele kilo mia Tano(500) kwa waathirika 45 katika kaya 12.

Wakipokea chakula, wananchi wa Kata ya Lituhi wamemshukuru na kumpongeza mbunge Manyanya kwa kuwajali kipindi hiki kigumu na Cha dhiki na wameahidi kumlipa fadhila mwakani katika uchaguzi mkuu watakapompigia kura amesema mwenyekiti wa Kijiji hicho bw. Paul Nombo kwa niaba ya wananchi.

"Tunashukuru sana mbunge wetu kwa kutujali wananchi wake tuliopata mafuriko kwa kuwa ametupa pole na chakula,kwa sababu mazao yetu yaliharibika kutokana na mafuriko, mwenyezi mungu amzidishie alipotoa sisi tutamlipa kwa kumchagua mwakani katika uchaguzi mkuu.Tunaona kazi zake lakini tuko nae kwenye shida na Raha ahsante sana abarikiwe sana.

Aidha Afisa Mtendaji wa Kata ya Lituhi amesema wananchi wamefarijika sana baada ya kupewa chakula hi cho kwa kuwa walikuwa na uhitaji baada ya kutokea mafuriko hayo.

Mafuriko yametokea hivi karibuni katika Kata ya Lituhi baada ya maji kupita katika makazi ya watu na kuharibu, mashamba,Nyumba na miundombinu.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.