• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Mbunge wa jimbo la Nyasa azindua zahanati ya Litindo Asili

Posted on: December 23rd, 2024

Mbunge wa Jimbo la Nyasa Mhandisi Stella Manyanya Tarehe 22.12.2024 amezindua Rasmi, Zahanati ya Kijiji cha Litindo Asili na kuwakabidhi wananchi,  wataalam na vitendea kazi tayari, kwa kutatua changamoto ya ukosefu wa huduma za afya kwa  wananchi wa kijiji hicho, waliokuwa wanatembea umbali Mrefu kufuata matibabu.

Uzinduzi huu umefanyika katika jengo la Zahanati hiyo na kuhudhuriwa na wananchi wa kijiji hicho ambao walijitokeza kwa wingi wakiwa na furaha na  nyuso za bashasha.

Akizungumza wakati wa Uzinduzi wa Zahanati ya Kijiji cha Litindo Asili , Mbunge Manyanya, amewapongeza wakazi wa hao kwa kufyatua tofari na kujenga  Zahanati mpaka ngazi ya Linta, ndipo serikali ikaunga juhudi za wananchi kwa kutoa Tsh milioni 50 na kukamilisha zahanati hiyo.

Mhandisi Manyanya amewaeleza kuwa leo ni siku ya Furaha kwa wananchi wa Kijiji cha Luhangarasi kwa hiyo nimefika,  ili niweze kukabidhi Raslimali watu yaani wataalamu wa Afya wawili, na Vitendea kazi, Vitanda 2 dawa na kitanda cha kuzalia Akinamama na ndoo 6 .

Kwa upande wa  MWANANCHI wa Kijiji cha Litindo Asili Kata ya Luhangarasi Wilayani hapa wameishukuru na kuipongeza Serikali kwa kutatua Changamoto ya Ukosefu wa Zahanati ya Kijiji.

“Tunaipongeza sana Serikali kwa kutatua kero ya Ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Litindo Asili tulikuwa tukipata shida ya kutembea umbali mrefu kuopata huduma ya matibabu lakini kwa sasa hatuna budi kuishukuri Serikali kwa kutukamilishia zahanati yetu na kuanza kazi. Alisema Nonosius Ndunguru Diwani wa Kata ya Luhangarasi.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • UTEKELEZAJI KAMPENI YA CHANJO YA MIFUGO YAANZA NYASA

    July 12, 2025
  • MAKUNDI SOGOZI YA WHATSAAP YAPASWA KUJADILI MAENDELEO

    July 12, 2025
  • DC MAGIRI AZINDUA RASMI BODI YA MAJI WILAYA YA NYASA

    July 12, 2025
  • DKT.SAMIA AMWAGA TENA MAMILIONI YA MIRADI NYASA

    July 10, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.