• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

MBUNGE wa Jimbo la Nyasa ahamasisha Usafi wa Mazingira

Posted on: October 6th, 2021

 Mbunge wa jimbo la Nyasa Mhandisi Stella Manyanya, jana October 05 ameungana na kikundi  cha vijana, kiitwacho  Manyanya football club, pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa, kufanya usafi katika maeneo ya Barabara  iliyopita Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa kuelekea Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Nyasa.

Akizungumza mara baada ya kukamilika kwa zoezi la Usafi Mhandisi Manyanya, amesema kuwa vijana lazima wafundishwe kazi na uzalendo wa nchi yao kwa kusaidia shughuli mbalimbli kama hizi za usafi katika maeneo Muhimu,  kama mlezi wa club hiyo ya mpira atawasimamia waweze kuwa wazalendo, na watagawanyika makundi mawili, ambao watakuwa wanafanya usafi Kata ya mbamba bay na kundi jingine Kata ya kilosa.

“Siku hizi hatuajiri sana watu wakufanya usafi mazingira ya nje lakini, wakufanya usafi ndani hivyo wahusika na wafanya kazi wa eneo husika wanatakiwa kufanya usafi, maeneo yao ya nje ya kazi zao na leo naanza na wafanyakazi wa hapa Halmashauri” Alisema Manyanya.

 lengo la usafi huu ni kuweka mazingira safi hasa katika maeneo ya barabara za Lami na kuifanya Wilaya ya Nyasa kuwa ya kuvutia muda wote kwa sababu tumewekewa, lami kwenye barabara zetu na tunatakiwa tuzitunze na kusafisha maeneo yote ya mitaro na mifereji inayozunguka barabara hizo.

Ameongeza kuwa,  kikundi hiki  kitakuwa endelevu kwa kupitia kazi mbalimbli pamoja mafunzo ya ufundi ili kuwaweka imara zaidi na kuwa vijana  wachapakazi.

Aidha  ametoa wito kwa wafanyakazi na wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa  kufanya usafi  katika maeneo yao nay a wazi ili kutunza mazingira ambayo yatatuepusha na magonjwa mbalimbali na kuweka mji wetu katika hali ya usafi ili kuvutia watalii watakaokuja kuwekeza katika maeneo yetu.

Imeandaliwa na

Lilian Ngwavi

Afisa Habari nyasadc

Announcements

  • Tangazo la nafasi za kazi Halmashauri ya wilaya ya Nyasa December 01, 2025
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • TANGAZO la nafasi ya kazi February 03, 2023
  • View All

Latest News

  • Balozi wa Tanzania nchini Malawi atembelea Wilaya ya Nyasa

    December 06, 2025
  • Maonesho ya Nane Nane Kanda za Nyanda za juu kusini , Mguu sawa Kuanza leo

    August 01, 2025
  • UTEKELEZAJI KAMPENI YA CHANJO YA MIFUGO YAANZA NYASA

    July 12, 2025
  • MAKUNDI SOGOZI YA WHATSAAP YAPASWA KUJADILI MAENDELEO

    July 12, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.