• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

MBUNGE NYASA KUWATUMBUA WAKUU WA SHULE WAVIVU.

Posted on: January 1st, 2019

Mbunge wa Jimbo la Nyasa ambaya pia ni Naibu Waziri wa Viwanda, Miundombinu na Uwekezaji Mhandisi Stella Manyanya amesema hatawavumilia Wakuu wa shule wote wavivu watakaosababisha kushuka kwa Taaluma katika shule zao katika Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa.

Aliyasema hayo jazi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika katika viwanja vya shule ya msingi Songambele iliyoko katika Kijiji cha Songambele kata ya Kihagara akiwa katika ziara ya siku tatu ya kukagua shughuli za maendeleo, kusikiliza na kutatua kero za wananchi katika Kata ya Kihagara Wilaya ya Nyasa.

Mbunge Manyanya alifafanua kuwa inapendeza kuona Nyasa inakuwa na Walimu wabunifu na wanaojali miundombinu ya shule na kuitunza vizuri kwa kuwa itamvutia mwanafunzi ili aweze kujifunza na kusoma kwa bidii na hatimaye kufaulu  masomo yake katika ngazi mbalimbali.

Aliongeza kuwa hatakuwa na msamaha kwa mwalimu yeyote au kiongozi yeyote wa Serikali atakayekuwa mzembe shuleni kufundisha wanafunzi na kutoitunza miundombinu ya shule, badala yake aliwahamasisha wazazi walezi na wananchi kwa ujumla kujenga miundombinu mizuri katika shule zao ili kuwavutia wanafunzi ili waweze kujifunza kwa juhudi na maarifa.

“Niwapongeze sana ndugu wananchi wa kijiji hiki cha Songambele kwa juhudi kubwa mnazozifanya za kujenga miundombinu ya madarasa katika shule hii ya Songambele,mimi kama Mbunge wenu niko karibu sana na nyie na kwa kuwa nimefika lazima niseme ukweli nimefarijika sana kuwa nanyi leo na kuona madarasa yaliyojengwa kwa nguvu zenu ,hali hii inatia moyo na ninawaagiza walimu wote katika Jimbo langu kuwa wanatakiwa kuitunza na kuilinda miundombinu hii. Aidha walimu wanatakiwa kupandisha zaidi ufaulu wa wanafunzi katika masomo yao natamani Nyasa iwe ya viwango, alisema Mbunge Manyanya.”

Wananchi wa kijiji cha Songambele kata ya Kihagara walimpongeza sana Mbunge wao kwa kuwajali na kuwatembelea kila anapopata nafasi na kuwaletea miradi ya maendeleo ya ujenzi wa madarasa, umeme, barabara.

Katika hatua nyingine Mbunge Manyanya Alichangia Tsh 1,000,000/= (milioni moja) kwa ajili ya kuunga juhudi zilizofanywa na wananchi za kujenga vyumba viwili na ofisi na amechangia mifuko sabini ya simenti kwa ajili ya ukarabati wa madarasa hayo na kuwataka wananchi hao kuendelea kujenga muindombinu inayohitajika katika shule hiyo.

Announcements

  • Tangazo la nafasi za kazi Halmashauri ya wilaya ya Nyasa December 01, 2025
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • TANGAZO la nafasi ya kazi February 03, 2023
  • View All

Latest News

  • Balozi wa Tanzania nchini Malawi atembelea Wilaya ya Nyasa

    December 06, 2025
  • Maonesho ya Nane Nane Kanda za Nyanda za juu kusini , Mguu sawa Kuanza leo

    August 01, 2025
  • UTEKELEZAJI KAMPENI YA CHANJO YA MIFUGO YAANZA NYASA

    July 12, 2025
  • MAKUNDI SOGOZI YA WHATSAAP YAPASWA KUJADILI MAENDELEO

    July 12, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.