• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

MBOLEA ndio uhai wa Mkoa wa Ruvuma- RC Thomas

Posted on: December 15th, 2022

MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amewatoa hofu wananchi kuwa  mbolea ipo ya kutosha na kwamba mbolea ndiyo uhai wa Mkoa wa Ruvuma.

Akizungumza na wananchi  Wilayani Mbinga Kanali Thomas amesema changamoto ni Mfumo wa kieletroniki ambao unashughuliwa na wananchi watapata mbolea ya ruzuku ambayo imetolewa na Mheshimiwa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan ili kuwapunguzia gharama kubwa ya mbolea iliyokuwepo Kabla ya Mfumo huu.

Hata hivyo amesema amekutana na Kamati iliyoundwa toka Wizara ya Kilimo ambayo ipo mkoani Ruvuma kwa lengo la kufanya tathmini ya ufuatiliaji wa mbolea ya ruzuku.

“Nawaagiza wakuu wa Wilaya fuatilieni usambazaji wa mbolea na kuhakikisha zinawafikia wananchi,kama kuna mtu yeyote anaficha mbolea achukuliwe hatua “,alisisitiza Kanali Thomas.

Awali akitoa taarifa ya upatikanaji wa mbolea katika Wilaya ya Mbinga,Mkuu wa Wilaya hiyo Mheshimiwa Aziza Mangosongo amesema katika Halmashauri ya Mbinga pekee hadi sasa kuna mbolea zaidi ya tani 2600 na kwamba siku ya Desemba 14 Wilaya imepokea tani 1200 za mbolea ya ruzuku.

Amesema Wilaya inatarajia kutumia vyama vya Ushirika vya Msingi AMCOS kupeleka mbolea kwa wananchi ili kupunguza kero ya umbali.

Mkoa wa Ruvuma kwa miaka minne mfululizo umekuwa ndiyo kapu la chakula la Taifa kwa kuongoza katika uzalishaji wa mazao ya chakula nchini.

Announcements

  • TANGAZO la nafasi ya kazi February 03, 2023
  • ORODHA ya Watumishi wanaodai malimbikizo ya Mshahara February 08, 2023
  • TANGAZO LA KAZI NYASA DC (MTENDAJI WA KIJIJI) August 18, 2021
  • TANGAZO LA KULIPA KODI YA ARDHI August 30, 2021
  • View All

Latest News

  • MV MBEYA II

    March 23, 2023
  • Wizara ya Afya yatoa mafunzo ya kuzuia na kupambana na magonjwa ya Mlipuko Wilayani Nyasa

    March 21, 2023
  • Nyasa yapewa milioni 800 Hospitali ya Wilaya ya Nyasa.

    March 21, 2023
  • Wananchi Nyasa waishukuru Serikali Kwa kufungua Barabara

    March 17, 2023
  • View All

Video

NYASA yafunguka Kimataifa
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.