• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

MAMLAKA ya Bandari Tanzania yakabidhi Vifaa Tiba vya TSH milioni 37 Nyasa.

Posted on: June 3rd, 2023

Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imekabidhi Vifaa Tiba vyenye thamani ya TSH milioni 37 Kwa Wilaya ya Nyasa.

Makibidhiano hayo yamefanyikatarehe 03/06/2023 katika viwanja vya bandari ya Mbamba bay Na kuhudhuriwa na wananchi wa Wilaya ya Nyasa, mgeni rasmi akiwa mkuu wa Wilaya ya Nyasa mh.Filberto Sanga.

Akipokea msaada huo , MKuu wa Wilaya ya Nyasa amewataka wananchi wa Wilaya ya Nyasa kutibiwa katika Hospitali ,vituo vya afya na Zahanati za Serikali, ili kuwa na afya Bora na kuwataka wajawazito kujifungulia katika Hospitali za Serikali.

Ameipongeza na kuishukuru Mamlaka ya Bandari Tanzania Kwa kuleta msaada huo na Kwa kuboresha usafiri wa majini katika ziwa Nyasa.

Amewataka wafanyabiashara kuwekeza Wilayani Nyasa kwakuwa Nyasa imefunguka katika sekta zote, usafiri wa majini, Nchikavu,na miundombinu ya umeme maji na afya Iko vizuri.

awali,Akikabidhi Vifaa Tiba Meneja wa bandari za ziwa Nyasa Manga Gassaya, amesema mamlaka ya Bandari Tanzania imetoa msaada huo ikiwa ni takwa la kisheria Kwa Taasisi inapopata faida kuihudumia jamii ili iweze kuona manufaa ya huduma zinazotolewa na Taasisi,na kuunga juhudi za Serikali za kuwaletea Maendeleo Wananchi wake.

Ameongeza kuwa mamlaka imetoa Vitanda 15 vya kulalia wagonjwa na meZa , vyote Kwa pamoja vikiwa na thamani ya TSH milioni 37.

Aidha amesema Serikali inatarajia kujenga bandari ya Kisasa Mbamba bay Wilayani Nyasa Kwa mwaka wa fedha 2023/2024 na tayari imeto TSh bilioni 70 Kwa ajili ya Ujenzi wa mradi wa bandari.

Ametoa wito Kwa jamii kuendelelea kutumia usafiri wa meli ya mv mbeya ii na kulinda miundombinu ya Bandari.

Wananchi wa Wilaya ya Nyasa wameipongeza mamlaka ya Bandari Tanzania na Serikali Kwa kuboresha sekta ya Afya Wilayani Nyasa na kuahidi kutoa ushirikiano.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.