• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

MADIWANI WILAYA YA NYASA WATAKIWA KUSHIRIKIANA NA KUONGEZA MAPATO YA HALMASHAURI

Posted on: December 14th, 2020

Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Nyasa wametakiwa kushirikiana na wataalamu, katika shughuli za Serikali na kuhakikisha wanahamasisha ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri katika maeneo yao.

Wito huo umetolewa na Kaimu Katibu Tawala Wilaya ya Nyasa Bw. Paul Lugongo , wakati akifungua Baraza la Madiwani Wilaya ya Nyasa katika kikao cha kuwaapisha Madiwani hao, kilichofanyika katika Ukumbi wa Kepten John Komba Mbamba bay Wilayani Nyasa.

Bw Lugongo amewataka madiwani hao kushirikiana na wananchi, wataalamu wa Kata na Halmashauri kwa Ujumla ili waweze kuijenga Halmashauri ili iwe na Maendeleo katika Utekelezaji wa Miradi mbalimbali ya maendeleo na kuwasihi kuwa migogoro baina yao na wataalamu itasababisha kudumaa kwa maendeleo.

Aliongeza kuwa, amewataka madiwani hao kuhakikisha wanahamasisha wananchi na wataalamu kukusanya mapato ya Halmashauri ili yaweze kuongezeka ili Halmashauri iweze kuwa na Nguvu ya kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo kwa makusanyo ya Ndani.

“Nichukue fursa hii kuwapongeza kwa kuchaguliwa kwenu lakini kazi iliyokuwepo mbele yenu ni kuhakikisha kuwa mnashirikiana vema na wananchi wataalamu ngazi ya Kata na Halmashauri, katika kufanya kazi na kuhamasisha Ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri ili kipato cha mtu mmoja kiweze kukua na Halmashauri iweze kujiendesha kwa mapato ya ndani” 

Jumla ya Madiwani 28 wameapishwa na Hakimu MKazi wa Mahakama ya Mwanzo Mbamba bay Nickson Maleko.

Announcements

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI WILAYA YA NYASA April 18, 2023
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • TANGAZO la nafasi ya kazi February 03, 2023
  • View All

Latest News

  • Maafisa habari/Tehama wapewa Mafunzo Ruvuma

    May 29, 2023
  • Dc-Nyasa TASAF NI Kiboko Cha utatuzi Kero za wananchi

    May 23, 2023
  • Uvuvi haramu marufuku ziwa Nyasa, wenye Nyavu haramu wajisalimishe

    May 18, 2023
  • Kikao Cha kamati ya Lishe

    May 17, 2023
  • View All

Video

NYASA yampongeza Rais SAMIA jengo jipya la Utawala
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.