• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

KIKUNDI CHA TANZANIA ONE CHATOA MSAADA WILAYA YA NYASA KUIKABILI CORONA

Posted on: April 16th, 2020

Kikundi cha Tanzania One Movement  Wilaya ya Nyasa,hivi karibuni  kimetoa msaada wa  vifaa vya kunawia maji  vyenye Thamani Ya Tsh 116,000/ kwa Wananchi wa Wilaya ya Nyasa  ili kujikinga na Virusi vya Corona .

Vifaa hivyo vimekabidhiwa hivi karibuni na Makamu Mwenyekiti  Wilayani Nyasa, Bw Onesmo Mkandawile kwa Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Bi Isabela Chilumba ili, avigawe kwa wananchi wa Wilaya ya Nyasa ili wachukue tahadhari, ya kukabiliana na Ugonjwa wa Corona kwa kunawa mikono .

Akikabidhi vifaa hivyo Bw. Mkandawile alifafanua kuwa wao kama wanakikundi  wameamua kuchanga fedha hizo hizo kuto mifukoni mwao na kuunga juhudi za Serikali za kupambana na Ugonjwa wa  Corona ambao hauna  kinga wala dawa.

Alivitaja vifaa alivyochangia kuwa ni, Ndoo  (4) na mifuniko yake za kunawia maji tiririka ,  na sabuni za nusu  lita kopo 05, tishu bunda 04.  Aidha alitoa wito kwa wananchi wote wa Wilaya ya Nyasa,  kufuata maelekezo ya wataalamu wa Afya pamoja na Viongozi wa Serikali, ili waweze kujikinga na Ugonjwa wa Corona.

Akipokea Msaada huo kwa niaba ya Wananchi wa Wilaya ya Nyasa,Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Bi Isabela Chilumba, amewashukuru wanakikundi hao kwa kutoa Msaada  kwa wananchi wa Wilaya ya Nyasa, kwa kuwa ni Msaada ambao ulikuwa ukihitajika, na wanakikundi hao wameonyesha nia ya kuisaidia jamii katika mapambano ya ugonjwa huu wa Corona, hivyo aliwataka wananchi wa Wilaya ya Nyasa kuhakikisha wanakuwa na sehemu nyingi za kunawa mikono, ili kujikinga na Ugonjwa wa Corona. Aidha alizitaka jamii zingine kuiga mfano wa wanakikundi hao na kuwaagiza  watoe elimu ya kupambana na ugonjwa wa CORONA kwa Wananchi wengine.

Announcements

  • Tangazo la nafasi za kazi Halmashauri ya wilaya ya Nyasa December 01, 2025
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • TANGAZO la nafasi ya kazi February 03, 2023
  • View All

Latest News

  • Balozi wa Tanzania nchini Malawi atembelea Wilaya ya Nyasa

    December 06, 2025
  • Maonesho ya Nane Nane Kanda za Nyanda za juu kusini , Mguu sawa Kuanza leo

    August 01, 2025
  • UTEKELEZAJI KAMPENI YA CHANJO YA MIFUGO YAANZA NYASA

    July 12, 2025
  • MAKUNDI SOGOZI YA WHATSAAP YAPASWA KUJADILI MAENDELEO

    July 12, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.