• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

KIKOSI KAZI CHAKAMATA WAHUJUMU

Posted on: June 18th, 2019


 Kikosi kazi maalum cha ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma, hivi karibuni kimewakamata wananchi wawili wa kijiji cha Kihereketi wilayani Mbinga wakiwa wanahujumu mapato ya Halmashauri katika msitu wa Lubela unaomilikiwa na Wilaya ya Nyasa.

Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa kikosi kazi hicho, Christopher Komba, alisema kuwa tukio hilo limetokea hivi karibuni wakati alipofanya ziara ya kushitukiza akiwa na Kikosi kazi chake, katika Msitu wa Libela uliopo kijiji cha Kihereketi, Kata ya Nyoni, wilayani Mbinga ndipo alipowakamata watuhumiwa hao wakiwa wanapasua boriti na mbao bila kibali cha Wilaya ya Nyasa.

Aliwataja watuhumiwa hao kuwa ni Edward Nchimbi (40) na Antony Nchimbi (33), wote wakiwa ni wakazi wa Kijiji cha Kihereketi wilayani Mbinga, ambao alisema siku ya tukio, Kikosi kazi maalum kutembelea eneo la msitu wa Halmashauri na kwa kushtukiza na kuwakuta watu hao wakiwa wanapasua mbao na boriti za kuezekea ndipo walipoanza kufanya mahojiano nao ambapo walikiri kukata miti hiyo na kutumia kwa maslahi yao binafsi bila kibali cha Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa.

Aliongeza kuwa baada ya kukiri, aliwakamata kwa lengo la kuwachukulia hatua kali za kisheria ikiwa ni pamoja na kuwaadhibu kwa mujibu wa sheria za Halmashauri ili iwe fundisho wengine wenye tabia ya kuiba vitega uchumi vya Halmashauri na kuifanya  Halmashauri kukosa mapato.

Aidha amewaasa wananchi wengine kutoiba vitega uchumi vya Halmashauri badala yake watoe ushirikiano ikiwa ni pamoja na kutoa taarifa kama kuna mtu yeyote anayehujumu mali za Serikali.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.