• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

KATIBU Tawala wa Mkoa wa Ruvuma akagua miradi Nyasa,awataka wazazi kuchangia chakula shuleni

Posted on: June 26th, 2024

Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Ndugu Rehema Madenge, Akiwa ameambatana na wataalam mbalimbali kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Tarehe 25/06/2024,  amefanya ziara ya kikazi ya kukagua Miradi ya Maendeleo katika Kata 3 za Chiwanda,Mtipwili na Kilosa Wilayani Nyasa.

Akikagua miradi,  ameitaka Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa kukamilisha Miradi kwa muda uliopangwa na kuitekeleza kwa viwango stahiki.

Akiwa katika Shule ya Sekondari Nyasa amekagua Ujenzi wa maabara, wenye thamani ya tsh million 118.1 na ujenzi wa Bweni la Wavulana lenye thamani ya tsh million 130 na kuwataka kukamilisha kwa wakati ujenzi ambao umefikia hatua ya ukamilishaji.

Katika shule ya Sekondari Unberkant , amepongeza ujenzi wa bweni unaogharimu tsh million 128, ambao uko katika ngazi ya Ukamilishaji, amewataka wananchi kuhakikisha wanafunzi wanakula shuleni kwa kuchangia chakula .

“Nachukua Fursa hii kuwaagiza wananchi wote kuhakikisha wanafunzi wanakula mashuleni,  ili kuongeza ari ya wanafunzi kujifunza kwa kuwa hata wanapokuwepo nyumbani wanakula hivyo wanatakiwa kula shuleni”

Akiwa katika Shule ya Sekondari Lovund amewapongeza wadau wa Elimu wa Tanzania Project, kwa kujenga shule ya Sekondari Lovund yenye thamani ya Bilion 1.2 mpaka kukamilika kwake na hatimaye kuikabidhi Serikali.

Amempongeza Mratibu wa Tanzania Project  Mwl Dennis Katumbi, kwa kutafuta wafadhili Nchini Norway ambao wanasaidia kuleta maendeleo wilayani hapa kwa kujenga miradi mbalimbali, na mradi wa mwisho kutembelea ni ujenzi wa shule Madarasa 3 shule ya Sekondari Limbo.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Bw. Khalid Khalif amemshukuru Katibu Tawala Mkoa kwa kufanya ziara na kumkaribisha awamu nyingine.

Imeandaliwa na Netho Sichali

Kitengo cha Mawasilino Serikalini

Wilaya ya Nyasa.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • TAARIFA YA MAENDELEO YA JAMII

    June 26, 2025
  • KICHEKO CHATAWALA TAFRIJA YA KUWAAGA MADIWANI

    June 19, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.