• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

KATIBU TAWALA RUVUMA AWATAKA WATUMISHI WILAYA YA NYASA KUTOA HUDUMA BORA KWA WANANCHI

Posted on: August 27th, 2020

Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma bw Steven Ndaki, amewataka watumishi wa umma kuongeza ari na kutoa huduma bora kwa wananchi, na kutekeleza miradi ya maendeleo kwa wakati.

Ameyasema hayo hivi karibuni alipofanya ziara ya siku moja ya kikazi Wilayani Nyasa, na kuongea na Wakuu wa Idara na Vitengo pamoja na watumishi wote wa Halmashaauri ya Wilaya ya Nyasa,  katika Ukumbi Wa Kepten John komba Ulioko Mbamba bay Wilayani Nyasa.

Bw Ndaki alifafanua kuwa watumishi wa Umma wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa, wanatakiwa kutoa huduma bora kwa wananchi na kutatua kero zilizoko katika jamii na kutekeleza miradi ya maendeleo, ambayo Serikali inalengo la kutatua kero za wananchi wa Wilayani hapa.

Ameongeza kuwa Lengo la Serikali ni kuhakikisha kuwa, Kila mtumishi wa umma anatoa huduma bora kwa wananchi ili kupunguza malalamiko yaliyoko katika jamii, ili wananchi wafanye shughuli zao bila malalamiko na hatimaye nyasa iweze kuvuma kwa maendeleo.

Aidha katika ziara hiyo alifanikiwa kutembelea na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo ambayo ni,  Mradi wa Veta Nyasa Unaojengwa Linda, Mradi waujenzi wa Sido unaojengwa Kijiji cha Nangombo na mradi wa Hospitali ya wilaya, mradi wa ujenzi wa Barabara unaotekelezwa na Tarula pamoja na Mradi wa Vyoo vya kisasa unaojengwa shule ya msingi Kilosa.

Aidha amewapongeza wananchi wa wilaya ya Nyasa na watumishi kwa ujumla, kwa kutekeleza miradi ya maendeleo kwa kiwango cha hali ya juu na kusema kuwa Nyasa ni Mfano wa kuigwa, katika Utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa kuwa miradi ni mizuri ,Shirikishi na inatekelezwa kwa Kiwango cha hali ya juu.

“Nichukue Fursa hii kuipongeza Wilaya ya Nyasa, kwa kutekeleza miradi ya Maendeleo kwa ufanisi wa hali ya juu, na kushirikisha wananchi kwa kila kinachoendelea, namna hii ni Nzuri katika Utekelezaji wa miradi ya  maendeleo na inatekelezwa kwa wakati.Nikupongeze sana Mkurugenzi na  Viongozi wote wa Halmashauri ya Nyasa.”alisema Ndaki.

Ametoa Wito kwa wananchi waWilaya ya Nyasa kuendelea kushirikiana na Viongozi wa Wilaya ya Nyasa ili kujiletea maendeleo.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.