• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Kamati ya Siasa ya CCM Wilaya ya Nyasa yaridhishwa na Maendeleo ya utekelezaji wa mradi wa maji wa Malungu -Tingi,

Posted on: November 11th, 2023

Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCm) Wilaya ya Nyasa Tarehe 11/11/2023 imetembelea na kukagua mradi wa maji wa Malungu unatekelezwa na mkandarasi Peace Construction ltd unaotarajia kukamilika 17/01/2024.

Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Nyasa Komred Abel Komba amesema ameridhishwa na mradi ambao umefikia asilimia 58 ya utekelezaji wake na unatarajia kuwanufaisha wananchi 9659 kutoka vijiji vya Malungu na Tingi.

Komred Komba amefafanua kuwa Mradi huo ni WA  muhimu sana Kwa wananchi wa Kata ya Tingi hivyo unatakiwa ukamilike Kwa wakati ili uwanufaishe wananchi hao.

Ameagiza uongozi wa Kata ya Tingi wa CCM kutembelea mradi huo mara Kwa mara ili Kasi iongezeke.

Ameongeza kuwa anampongeza Rais SAMIA Suluhu Hassan  na Mbunge wa Jimbo la Nyasa mhandisi Stella Manyanya,Kwa kuipa miradi mingi Halmashauri ya Nyasa ambayo inalenga kutatua changamoto za wananchi hususani mradi huu wa maji.

Aidha kamati hiyo imesaidia kubeba Bomba ikihamasisha wananchi kushiriki Maendeleo ya Mradi .

Kwa upande wa wananchi wameishukuru Serikali Kwa kutatua kero ya maji iliyopo katika vijiji na kumtaka mkandarasi kukamilisha kazi Kwa wakati.

Aidha wananchi wametoa ushirikiano Kwa mkandarasi Kwa kumsaidia shughuli mbalimbali.

Awali akisoma taarifa ya utekelezaji ya Mradi Meneja wa RUWASA Wilaya ya Nyasa mhandisi Masoud Samila amesema Serikali imetoa TSH 487,530,225 kupitia mfuko wa Taifa wa maji na Serikali kuu.

Amezitaja kazi zilizofanyika ni Ujenzi wa mtego wa maji,uchimbaji wamtarobna ulazaji Bomba kuu ,Ujenzi wa tank la maji Lita 100,000 ma Ujenzi wa vituo 11 vya kuchotea maji.

Na amesema  Mradi utawanufaisha wananchi Kwa kupunguza magonjwa mbalimbali ya mlipuko ,na jamii kupata mda mwingi wa kufanya shughuli za maendeleo.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • UTEKELEZAJI KAMPENI YA CHANJO YA MIFUGO YAANZA NYASA

    July 12, 2025
  • MAKUNDI SOGOZI YA WHATSAAP YAPASWA KUJADILI MAENDELEO

    July 12, 2025
  • DC MAGIRI AZINDUA RASMI BODI YA MAJI WILAYA YA NYASA

    July 12, 2025
  • DKT.SAMIA AMWAGA TENA MAMILIONI YA MIRADI NYASA

    July 10, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.