• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

KAMATI ya Siasa CCM Wilaya ya Nyasa Yaridhishwa na Miradi ya COVID 2019

Posted on: December 19th, 2021

Kamati ya siasa ya Chama cha Mapinduzi (CCM)  , Tarehe 19.12.2021 ikiongozwa na mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Nyasa Mh, Crodiwik Duwe, imefanya ziara ya kutembelea na kukagua miradi ya UVIKO 2019   desemba 19  wilayani hapa.

 Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Nyasa  Crodivic Duwe  akiongea wakati akihitimisha ziara hiyo,amesema CCM Wilaya, Imeridhishwa na mwenendo wa Miradi hiyo ambayo imefikia asilimia 90 na ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa kwa kutekeleza miradi kwa hatua waliyofikia na kusema kuwa wamefanya kazi nzuri na ifikapo desemba 24 itakuwa imekamilika.

 Aidha amewapongeza Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Kanali Laban Thomas na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Nyasa Ndugu Jimson Mhagama, kwa kusimamia vizuri miradi hiyo, inayoendelea kukamilishwa Wilayani hapa na kusema kuwa licha ya kufanya ziara hiyo leo wana taarifa zote za miradi na kujua jinsi gani wanavyosimamia maendeleo wilayani hapa.

Akitoa Taarifa ya Miradi kwa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Nyasa Ndugu Jimson Mhagama, amesema miradi yote imefikia asilimia 90 na kwa sasa imefikia hatua ya Ukamilishaji inayotarajia kukamilika Desemba 24 mwaka huu,aidha amempongeza Mh Rais  Samia Suluhu Hassan kwa kuipa fedha zaidi ya Bilioni 1.8 ya Ujenzi wa madarasa Halmashauri ya Nyasa ambayo ina bajeti ya sh Bilioni 1.2 ya mapato ya ndani na Halmashauri isingeweza kujenga madarasa hayo kwa mapato ya ndani.

.

kamati  hiyo imetembelea miradi ya COVID 2019 katika Shule ya Sekondari Limbo Kata ya Kilosa ambapo kuna ujenzin wa madarasa 2, Shule ya Sekondari Mbamba bay, madarasa 4 ,St Pauls Liuli ambapo kuna ujenzi wa Madarasa 2 na shule ya Sekondari Mango ambapo kuna ujenzi wa madarasa 2

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • UTEKELEZAJI KAMPENI YA CHANJO YA MIFUGO YAANZA NYASA

    July 12, 2025
  • MAKUNDI SOGOZI YA WHATSAAP YAPASWA KUJADILI MAENDELEO

    July 12, 2025
  • DC MAGIRI AZINDUA RASMI BODI YA MAJI WILAYA YA NYASA

    July 12, 2025
  • DKT.SAMIA AMWAGA TENA MAMILIONI YA MIRADI NYASA

    July 10, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.