• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Kamati ya Maafa Nyasa yawafuta Machozi wahanga wa moto Soko la Mbamba bay.

Posted on: December 5th, 2024

Kamati ya  Maafa  Wilaya ya Nyasa yawafuta Machozi wahanga wa Moto Soko la Mbamba bay.

Wafanyabiashara 12 wa soko la Mbamba bay ambao bidhaa zao ziliteketea Kwa  moto usiku wa kuamkia tarehe 15.11.2024 wameishukuru Serikali baada ya kupewa kufuta Machozi cha Tsh Milioni 4.7

Fedha Hizo zimekabidhiwa na Mkuu wa wilaya ya Nyasa Mhe.Peres Magiri wakati akiongea na Wafanyabiashara hao katika eneo la soko  tarehe 04/12/2024.

Akikabidhi fedha Hizo, Mkuu wa wilaya ya Nyasa Mhe. Magiri amesema, Kamati ya Maafa ya wilaya ya Nyasa ilikaa kikao na kuazimia wahanga wote ambao bidhaa zao ziliteketea Kwa moto wapewe kifuta Machozi.

Aidha Michango imekusanywa kutoka Ofisi ya Mkurugenzi mtendaji wilaya ya Nyasa, Taasisi mbalimbali na Wafanyabiashara, na jumla ya TSH Milioni 4,724,000 zilikusanywa na Leo kuwagawia wahanga 12 wa ajali ya moto Soko la Mbamba bay, iliyotokea usiku wa kuamkia tarehe 15/11/2024 na kuteteza Vibanda 23 kati ya vilivyoungua Vibanda 13 vilikuwa na bidhaa na 10 havikuwa na bidhaa ndani.

Wafanyabiashara hao mara baada ya kupewa kifuta Machozi hicho wamempongeza na kumshukuru Rais Samia Suluhu Hassan Kwa kuwapa viongozi Bora Wilaya ya Nyasa, ambao wameshirikiana vema tangu mkasa wa moto ulivyotokea Mpaka Sasa.

"Tunamshukuru Rais Dkt Samia Suluhu Hassan Kwa kutuletea Viongozi Bora na wagharibishi ambao wanajua kuishi na Wananchi wakiwa kwenye huzuni na furaha. Hakika tuliishiwa Kila kitu na madeni yalikuwa yametawala, tuliishi maisha ya wasiwasi lakini Kwa Sasa tumepata mitaji yetu tunaendelea kulijenga Taifa Kwa kufanya biashara kama Awali" alisema mfanyabiashara Nurdin Said Belo Kwa niaba ya wafanyabiashara wa soko la Mbamba bay.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • UTEKELEZAJI KAMPENI YA CHANJO YA MIFUGO YAANZA NYASA

    July 12, 2025
  • MAKUNDI SOGOZI YA WHATSAAP YAPASWA KUJADILI MAENDELEO

    July 12, 2025
  • DC MAGIRI AZINDUA RASMI BODI YA MAJI WILAYA YA NYASA

    July 12, 2025
  • DKT.SAMIA AMWAGA TENA MAMILIONI YA MIRADI NYASA

    July 10, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.