• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Kamati ya Fedha Utawala na Mipango wilaya ya Nyasa yafanya Ziara ya kutembelea na kukagua miradi ya maendeleo.

Posted on: December 12th, 2024

Yaliyojiri Ziara ya Kamati ya Fedha Utawala na Mipango.

Kamati ya Fedha Utawala na Mipango ya Halmashauri ya wilaya ya Nyasa Tarehe 12/12/2024 imetembelea na kukagua miradi ya maendeleo katika Tarafa ya Ruhekei, Ruhuhu na Mpepo.

Lengo la kutembelea na kukagua ni kujionea Miradi ya maendeleo inavyotekelezwa na kutatua changamoto katika utekelezaji wa Miradi.

Kamati hiyo ikiongozwa na Makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Nyasa Mhe. Walariki Kikasi na Mbunge wa Jimbo la Nyasa Mhandisi Stella Manyanya imewata Wananchi wa wilaya ya Nyasa kushiriki kikamilifu katika utekelezaji wa Miradi ambayo IPO katika maeneo Yao.

"Lengo la Serikali  kuleta Miradi katika maeneo yetu ni kutatua changamoto za Wananchi, hivyo Wananchi wanatakiwa kushiriki kikamilifu katika shughuli zinazoendelea katika utekelezaji wa Miradi".

Akikagua ujenzi wa Zahanati ya Litoromelo Kata ya Ngumbo, amewapongeza Wananchi Kwa kushiriki kikamilifu Ujenzi wa Zahanati hii na kuwataka kukamilisha Kwa haraka ili ifikapo Februari 5, 2025 Zahanati hiyo iwe imeanza kutumia na ifanyiwe sherehe ya ufunguzi

Mbunge wa Jimbo la Nyasa Mhandisi Stella Manyanya amewataka watumishi  wa Afya kutoa huduma Bora Kwa Wananchi ili Wananchi kuwa na Imani na Serikali Yao.

Ameyasema hayo wakati akitembelea Kituo cha Afya Kihagara wakati wa Ziara hiyo.

Aidha ameridhishwa na huduma zinazotolewa na kuahidi kuendelea kutatua changamoto mbalimbali katika Kituo hicho.

Kwa upande wake Wananchi wameipongeza kamati hiyo Kwa kufanya ufuatiliaji wa Miradi na kuahidi kuendelea kutekeleza miradi ya maendeleo katika maeneo Yao.

Aidha wamempongeza Mbunge wa Jimbo la Nyasa Mhandisi Stella Manyanya Kwa juhudi kubwa anazozifanya za kuhakikisha Jimbo la Nyasa linakimbia Kwa maendeleo.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.