• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

KAHAWA ya Nyasa ni bora, kuuzwa kimataifa

Posted on: August 10th, 2021

Afisa Ushirika wa Wilaya ya Nyasa Bw Menance Ndomba  jana, amefanya ziara ya kushtukiza ya kutembelea vyama vya Ushirika wa mazao na masoko (AMCOS)  wa vyama vinne yenye lengo la kukagua  jinsi kahawa inavyochakatwa, kuanikwa na kusafishwa, tayari kwa kupelekwa sokoni na kutoa Elimu kwa wakulima ya Uandaaji kahawa Bora.

Ziara hiyo ameifanya katika Vyama cha vya Ushirika vya Msingi wa Mazao na Masoko  (Amcos) ya Kimbango, upolo, Luhangarasi na Kingerikiti.

Bw Ndomba amefafanua kuwa lengo la ziara yake ya kushtukiza ni kuona jinsi wakulima wanavyochakata kahawa katika Vyama vya msingi vya Ushirika kwa kuwa tayari alishatoa ,mafunzo kwa viongozi na wakulima hao jinsi ya kuchakata, kuanika na kuifikisha katika soko ili iwe bora na iweze kuuzwa kimataifa.

Mara baada ya kuzungukia vyama hivyo amesema ameridhishwa na uchakataji unaozingatia viwango vya hali ya juu ya usafi, uchakataji na uhifadhi, amesema kwa mwaka huu yawezekana tukavuka lengo kwa kukusanya na kuuza kahawa nyingi, yenye ubora wa hali ya juu kwa kuwa wakulima wote wamehamasika kupeleka kahawa ili niweze kuchakatwa kwa mashine ambayo huondoa sukari katika kahawa na kuhifadhiwa vizuri.

Naye Faraja komba Afisa manunuzi wa chama kikuu cha Ushirika Mbinga aliyeambatana na Afisa ushirika wa Wilaya ya nyasa mara baada ya kutembelea na kuona jinsi kazi zinavyofanyika ya uchakataji wa kahawa ameridhishwa na ubora wa kahawa ya Nyasa, na kuupongeza uongozi wa Wilaya ya Nyasa kwa juhudi zinazofanyika za kuhamasisha Uchakataji wa Kahawa bora.

Ametoa wito kwa wakulima wa Nyasa kuendelea na juhudi hizo kwa kuwa mashamba yao yanalimwa kitaalamu na mazao kuyafikisha kwa wakati katika mashine ambayo huondoa sukari na kuwa bora inayokidhi soko la kimataifa.

Lakini kwa upande wao wananchi wa kata za Kingeriki luhangarasi na upolo wameipongeza Serikali kwa kuwasimamia vizuri na kuwapa kipaumbele cha elimu ya kilimo na kusimamia vizuri Ushirika ambao unatoa ajira kwa wakazi wa Kata hizo.

Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Nyasa Bw Jimson Mhagama amesema zao la kahawa ni zao ambalo wakulima wa Wilaya ya Nyasa wananufaika nalo hivyo kila mwaka wanatakiwa kuongeza ukubwa wa mashamba yao na kupanda mbegu bora za kisasa ambazo hukomaa kwa muda mfupi na kutoa mazao mewngi kwa wakulima hao.A

Ametoa woto kwa wanunuzi wa Zao la kahawa kuja kununua kahawa kutoka Nyasa kwa kuwa imeandaliwa kwa ubora wea kimataifa

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.