• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

JESHI la Zimamoto latoa mafunzo ya zimamoto na Uokoaji kwa wananchi Nyasa

Posted on: July 3rd, 2024

Jeshi la Zimamoto na uokoji Wilaya ya Nyasa, hivi karibuni limetoa mafunzo ya uokoaji eneo la Mhalo wa Mbamba bay kwa wananchi wa Kata ya Mbamba bay wilayani hapa.

Mafunzo haya yametolewa na Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Sajenti  Roden Mlimbila, aliyewata wananchi na wavuvi kupata elimu ya Kinga, na uokoaji kipindi wanapopata majanga ya moto au  maji.

Sajenti Mlimbila amefafanua kuwa, Wilaya ya Nyasa inaziwa ambalo majanga mbalimbali huwa yanatokea, hivyo amewaelekeza jinsi ya kutumia au kuvaa koti la msaada wa maokozi kwenye maji,kipindi wanapoenda kuvua,matumizi sahihi ya Filimbi ya Maokozi na matumizi sahihi ya boya.

Lengo kuu la mafunzo haya ni kupunguza majanga ya kwenye maji yanapotokea,au yanapokaribia wafanyaje,Aidha mewaagiza wavuvi wote ndani ya miezi miwili wawe wamenunua koti la msaada wa maokozi kwenye maji kwa ajili ya kujikinga na majanga ya maji.

Aidha katika mafunzo ya kuzima moto amewataka wananchi kutotikisa jiko la gesi kipindi gesi inapoisha kwani watasababisha Mlipuko,na kuwataka kila nyumba kuwa na Dirisha la dharula kipindi moto ukitokea basi watumie dirisha hilo kujiokoa.

Aidha amewataka wananchi kupiga simu namba ya 114 ambayo inatumika kwa kutoa huduma kwa wale ambao wamekutwa na majanga mbalimbali.

Wananchi wa Kata ya Mbamba bay wameipongeza Serikali na Jeshi la Zimamoto kwa kutoa mafunzo haya ambayo yamewasaidia kujua namna bora ya kujiokoa kipindi watakapokutana na majanga, kwa kuwa awali walikuwa hawana mafunzo haya hivyo yatapunguzana kukomesha majanga ya moto na maji.

Announcements

  • Tangazo la nafasi za kazi Halmashauri ya wilaya ya Nyasa December 01, 2025
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • TANGAZO la nafasi ya kazi February 03, 2023
  • View All

Latest News

  • Balozi wa Tanzania nchini Malawi atembelea Wilaya ya Nyasa

    December 06, 2025
  • Maonesho ya Nane Nane Kanda za Nyanda za juu kusini , Mguu sawa Kuanza leo

    August 01, 2025
  • UTEKELEZAJI KAMPENI YA CHANJO YA MIFUGO YAANZA NYASA

    July 12, 2025
  • MAKUNDI SOGOZI YA WHATSAAP YAPASWA KUJADILI MAENDELEO

    July 12, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.