• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

JAFO AIPONGEZA NYASA

Posted on: December 21st, 2019

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mh.Seleman Jafo (Mb), ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma  kwa kukamilisha ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Nyasa kwa wakati uliopangwa.

 Alizitoa pongezi hizo hivi karibuni alipokuwa katika Ziara ya kikazi ya siku moja ya kutembelea na kukagua, miradi ya maendeleo inayosimamiwa na ofisi yake katika Wilaya ya Nyasa.

 Bw.Jafo alifafanua kuwa ameridhishwa na ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Nyasa, kwa kuwa imejengwa vizuri na kwa ubora wa hali ya juu. Hivyo aliwapongeza viongozi,wa Wilaya ya Nyasa na wananchi kwa ujumla kwa kushirikiana, na  kusimamia vema ujenzi wa Hospitali hiyo, na kukamilisha kwa wakati licha ya umbali uliopo ukifananishwa na sehemu zingine.

 “Nachukua fursa hii kuwapongeza sana Viongozi na wananchi wote  wa Wilaya ya Nyasa kwa kusimamia vizuri ujenzi wa Hospitali hii kwa kuwa imejengwa kwa ubora ukilinganishwa na umbali wa kijiografia kwa kuwa Wilaya ya nyasa iko Mbali ikilinganishwa na Wilaya zingine”

 Aidha aliwataka wananchi hao watambue kwamba ujenzi wa hospitali hiyo pamoja na vituo vingine  vya Afya, ujenzi wa miundombinu ya shule, na ujenzi wa barabara ya Lami kutoka Mbinga hadi MBamba-bay ni upendo wa moyoni wa Mh. Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, kwa kuwa  ameamua kutatua kero za Wananchi wa Wilaya ya nyasa na Tanzania kwa ujumla hasa Wanyonge.

 Alitoa wito kwa wananchi kuitunza miundombinu ya majengo ili iweze kutumika kwa muda mrefu.

 Kwa upande wake Mbunge wa jimbo la Nyasa Mhandisi Stella Manyanya alimuomba Waziri Jafo kuwaongeza  watumishi wa Afya  katika Wilaya ya Nyasa ili Hospitali hiyo ianze kufanya kazi.

 Wilaya ya Nyasa imepewa na Serikali jumla ya Shilingi bilioni moja na nusu kwa ajili ya kutekeleza ujenzi wa hospitali ya Wilaya ya Nyasa na inatarajia kutatua kero ya wananchi wa Wilaya ya Nyasa waliokuwa wakilazimika kusafiri umbali wa kilometa 66 kufuata matibabu katika hospitali ya wilaya ya Mbinga na Hospitali ya Mkoa  Songea

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Karibu Mwenge wa Uhuru Wilayani Nyasa

    May 11, 2025
  • Mwenyekiti wa Tume huru ya Uchaguzi Tanzania akagua vituo vya kujiandikisha Nyasa.

    May 04, 2025
  • Dc Nyasa awataka madiwani na watendaji kubuni vyanzo vipya vya mapato

    April 30, 2025
  • DC Nyasa azindua Kituo kipya cha Mafuta

    April 26, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.