• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Hospitali ya wilaya ya Nyasa Mkombozi wa huduma za Afya Kwa wakazi wa Nyasa na Nchi ya Msumbiji

Posted on: February 20th, 2025

Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa  mkoani Ruvuma iliyojengwa eneo la Nangombo imeendelea kuwa tegemeo kubwa kwa wakazi wa wilaya na nchi jirani ya Msumbiji .


Mganga Mfawidhi wa Hospitali hiyo Dr.Hussein Ngaillah anasema Hospitali hii, iliyoanza kutoa huduma rasmi mnamo Juni 2021, imeleta mapinduzi makubwa katika sekta ya afya, ikihudumia kata 20 zenye jumla ya wakazi 191,193, wakiwemo wanawake 93,494 na wanaume 97,699, pamoja na vijiji vya jirani kutoka Halmashauri ya mji wa Mbinga na  nchi jirani ya Msumbiji.


HUDUMA ZINAZOPATIKANA

Kwa kipindi cha takriban miaka mitatu tangu kuanzishwa kwake, Hospitali ya Nyasa imefanikiwa kutoa huduma mbalimbali muhimu kwa jamii.


Huduma hizi ni pamoja na wagonjwa wa nje (OPD), wagonjwa wa ndani (IPD), huduma za maabara, afya ya uzazi na mtoto (RCH), dawa na vifaa tiba, huduma za mionzi kama X-ray na Ultrasound, afya ya kinywa na meno, fiziotherapia, na matibabu ya dharura (EMD).


Zaidi ya hayo, hospitali inatoa huduma za afya msonge, ikiwemo matibabu ya kifua kikuu na ukoma, tohara kwa wanaume, uchunguzi wa saratani ya shingo ya kizazi, pamoja na chanjo mbalimbali kama ile ya homa ya ini na chanjo ya saratani ya shingo ya kizazi.


ONGEZEKO LA WAGONJWA NA MAENDELEO YA HUDUMA


Tangu kuanzishwa kwake, hospitali hii imekuwa ikishuhudia ongezeko kubwa la wagonjwa wanaohudumiwa. Katika mwaka wa fedha 2020/2021, hospitali ilihudumia wagonjwa 195 pekee.


Hata hivyo, idadi hii iliongezeka maradufu mwaka wa fedha 2021/2022 kufikia wagonjwa 3,325. Mwaka uliofuata wa 2022/2023 idadi iliongezeka hadi wagonjwa 6,907, na mwaka wa fedha 2023/2024 hospitali ilihudumia wagonjwa 10,374. Ongezeko hili linaonesha jinsi hospitali hii inavyoendelea kuwa tegemeo kubwa kwa jamii.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • UTEKELEZAJI KAMPENI YA CHANJO YA MIFUGO YAANZA NYASA

    July 12, 2025
  • MAKUNDI SOGOZI YA WHATSAAP YAPASWA KUJADILI MAENDELEO

    July 12, 2025
  • DC MAGIRI AZINDUA RASMI BODI YA MAJI WILAYA YA NYASA

    July 12, 2025
  • DKT.SAMIA AMWAGA TENA MAMILIONI YA MIRADI NYASA

    July 10, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.