• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

HOFU YA KULIWA NA MAMBA YAISHA LIPINGO-NYASA

Posted on: September 5th, 2019

Wakazi wa Kata ya Kijiji cha Lundo,kata ya Lipingo wameupongeza uongozi wa Wilaya ya Nyasa, kwa kuwajengea darajakatika daraja la mto  Lwika.Daraja hilo linalounganisha, Kitongoji cha zambia na Kijiji cha Lundo  na kumaliza kero ya wakazi hao kuliwa na mamba. 

Wakazi hao walitoa pongezi  wakati wa Ziara ya kamati ya Siasa, ya Chamacha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Nyasa, walipokuwa wanatembelea na kukagua miradiya maendeleo, iliyotekelezwa na Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa hivi karibuni katika Kata ya Lundo.

Wananchi hao walifafanua kuwa, kwamuda mrefu walikuwa wakishuhudia vifo vinavyotokana na kuliwa na mamba,waliokuwa wakikaa katika mto huo ,na kuwaua wakazi waliokuwa wakivuka kwa kuwawalikuwa wakilazimika kuingia katika mto huo ili  wavuke.

Waliongeza kuwa baada ya kukamilikakwa daraja  hakuna kifo chochote chakuliwa na mamba kilichotokea katika kijiji hicho na wakazi wa kijiji hicho. Wamekuwawakiishi kwa amani, bila hofu ya kuliwa na mamba  katika daraja hilo linalounganisha kitongojicha Zambia na kijiji  cha Lundo.

Ofisa Mtendaji wa kata ya Lipingo,Kuno Ntini alithibitisha  daraja hilo niUkombozi katika kata yake kwa kuwa kumewafanya wanachi kutekeleza majukumu yaoipasavyo.  Awali walikuwa wakiwa na hofu ya kwenda shamba kwa hofu ya kuliwa na mamba katika daraja hilo lakini kwa sasa wa naendelea vizuri na  shughuli za maendeleo.

“daraja hili lilikuwa kikwazo sana katika shughuli za kimaendeleo, kwa kuwa watu walikuwa wakishindwa kufanya kazi kwa hofu ya kuliwa na mamba lakini tangu daraja likamilike hakuna kifo cha mamba kilichotokea”

Awali akisoma taarifa ya ujenzi wadaraja hilo, Kaimu meneja wa wakala barabara za mijini na vijijini (TARURA) wilayani hapa  Mageta Mteleke ,alisema Serikali imetoa Shilingi milioni sabini na tisa nukta nne (79,400,000/=) mpakakukamilika kwa mradi huu na inaendelea kutekeleza miradi mbalimbali ya barabaraili kuharakisha maendeleo kwa wananchi.

Katubu wa chama cha mapinduzi (CCM) Wilayani hapa Abasi Mkweta  kwa niaba ya chama hicho Wilayani hapa alipongeza juhudi zilizofanywa na Halmashauri yakujenga daraja hilo na kuwaomba waendelee kutatua kero za wananchi kwa wakatiili kuwawezesha wananchi hao kupiga hatua za kimaendeleo kwa haraka.

“Napenda kuchukua fursa hii kukupongezasana Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Nyasa Bw.Jimson Mhagama kwakutekeleza mradi huu ambao ulikuwa kikwazo kikubwa cha maendeleo katika Katahii wakazi walikuwa wakiliwa na mamba na hata wananchi wameufurahia sana mradi huu kwa kuwa tangu kukamilika kwake hakuna kifo cha mamba kilichojitokezakatika Daraja hilo” . 

Aidha aliwaomba wananchi kutunza miundombinuya daraja la mto Lwika ili iweze kudumu na kusaidioa vizazi vijavyo.

 

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.