• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa kujenga uwanja wa kisasa wa Mpira

Posted on: February 28th, 2023

Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Inaanza kujenga uwanja wa kisasa wa Michezo utakaogharimu zaidi ya Tsh Bilioni 1.4, katika eneo la Ilipokuwa Kambi ya Wachina Mkabala na Uwanja mdogo wa Ndege, Kata ya Kilosa Wilayani hapa ili kukuza na kuendeleza vipaji vya michezo mbalimbali na kutangaza fursa za Utalii zilizopo wilayani Nyasa kupitia michezo.

Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mh. Filbetho Sanga wakati Akiongoza Kikao cha kamati ya Ujenzi na wadau wa michezo Wilayani hapa, ikiwa na lengo la kuwajulisha na kuwahamasisha, kuanza kwa ujenzi  wa Uwanja wa Michezo, utakaojumuisha, uwanja wa mpira wa miguu,netball, mpira wa kikapu na mpira wa wavu,kikao  kilichofanyika tarehe 28/02/2023 katika Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Nyasa.

Mh Sanga amezitaja kazi zilizofanyika kuwa  ni pamoja kuainisha miundombinu iliyopo eneo la uwanja na kujua ukubwa eneo ambao ni hekari 10,  na kuainisha gharama za ujenzi wa uwanja a,mbao mpaka kukamilika kwake kutagharimu zaidi ya tsh Bilioni 1.4 ,  kuunda kamati kuu na kamati ndogo za ujenzi lengo ni kuwajulisha na kuwahamasisha  wadau juu ya  ujenzi wa uwanja huu.

Amezitaja kazi ambazo zinatarajia kuendelea ni Kutoa nguzo za umeme katika eneo la uwanja wa mpira,na kutengeneza eneo la kuchezea (pitch) pamoja na kufyatua tofari za kujengea uwanja.

Amewataja walezi wa ujenzi wa Mradi huu kuwa ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Laban Thomas.

Mbunge wa Jimbo la Nyasa Mhandisi Stella Manyanya amesema, amelazimika kujenga uwanja wa kisasa Wilayani Nyasa ili kutatua changamoto ya ukosefu wa viwanja vya  kisasa vya michezo, na kuwa kero kwa wananchi wa Wilaya ya Nyasa.kukamilika kwa uwanja huu kutaongeza fursa za kimichezo na kutangaza Vivutio vya utalii  Wilaya ya Nyasa kupitia Michezo kwa kuwa Timu mbalimbali zitafika kucheza Wilayani Nyasa.

Aidha Amempongeza na kumshukuru Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania Mh.Kassim Majaliwa kwa kukubali kuwa Mlezi wa Ujenzi wa Uwanja huu.

Ametoa wito kwa wananchi wa Wilaya ya Nyasa kushiriki na kutoa michango yao ya hali na mali ili kufanikisha ujenzi huu unaomilikiwa na Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa,Kupitia Mfuko wa Jimbo amechangia Tsh milioni 50 na Mkurugenzi wa Tanzania Project Denis Katumbi amechangia Tsh Laki nne jumla ni milioni 50 na Laki nne,zinazoanzisha Ujenzi.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.