• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

HALMASHAURI ya Wilaya ya Nyasa yatoa mikopo kwa vikundi 39

Posted on: December 13th, 2024

Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa imetoa mikopo kwa Vikundi 39 vya wajasiliamali  Wanawake vikundi 17, watu wenye Ulemavu Vikundi 11 na Vijana vikundi 11 yenye Thamani ya Shilingi 189,831,500 ikiwa ni asilimia 10 ya mapato ya ndani ya Halmashauri.

Hafla ya kuwakabidhi wanakikundi hao imefanyika Tarehe 13.12.2024, katika Ukumbi wa Jengo la Utawala,Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Nyasa, na Mgeni Rasmi katika Hafla hiyo ni Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mhe. Peres Magiri

Akikabidhi Mikopo kwa wanakikundi, Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mhe. Magiri, ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa, kwa kuongeza ukusanyaji wa mapato ya Ndani, na kutoa mikopo  kwa wajasiliamali , kwa lengo la kuongeza kipato kwa jamii.

Amewataka wanakikundi waliopokea fedha hizo kwenda kjiimarisha kiuchumi kwa  kuongeza kipato na hatimaye kulipa deni hilo kwa kuwa Serikali imetoa fedha  bila Riba, hivyo mnatakiwa kuongeza kipato kutumia vizuri na kurudisha fedha hizo kama mkataba unavyosema.

“Fedha hizi ni za mikopo hivyo basi wajasiriamali mnatakiwa kuongeza kipato na kurudisha mkopo ili na wengine waweze kupata mikopo hiyo awamu Nyingine”



Naye Mbunge wa Jimbo la Nyasa Mhandisi Stella Manyanya ameishukuru Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwapa mikopo wananchi wa Jimbo la Nyasa, ili waweze kuongeza kipato zaidi na kuwataka wananchi kuendesha biashara zao ili wapate faida na kurudisha mikopo hii.

Aidha ametoa angalizo kwa waliopokea mikopo  kuwa, mikopo hii sio zawadi hivyo wajitahidi kulipa ili na Vikundi vingine,Amewahamasisha wafanyabiashara kuendelea kulipa kodi ili na Halmashauri iweze kuboresha huduma zake.

“Rai yangu kwenu ni kuhakikisha kuwa wote waliopewa fedha wanatakiwa kurudisha kama mikataba yao inavyosema, ili na wengine nao wawe wanapewa mikopo hiyo kwa kuwa mikopo jhii sio zawadi”.



Awali akitoa Taarifa fupi Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya nyasa, Bw. Khalid Khalif  amesema Halmashauri ya Nyasa imetekeleza takwa la kisheria kwa kutoa mikopo hiyo kwa kuwa ilipokea maombi 133 na kuyachakata kutokana na ufuatiliaji uliofanyika vikundi 39 vimepata mkopo huu, hivyo amewataka wanakikundi hao kuwa na nidhamu ya matumizi na kurudisha kwa wakati mikopo ili marejesho yatumike kuwakopesha wananchi wengine.

Na kwa upande wao wanakikundi wanufaika wa mikopo hiyo wamesema wanaipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa kwa kuwapa mikopo kwa kuwa itawasidia kuboresha biashara zao na watahakikisha wanalipa kwa wakati.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.