• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa yakamilisha,na kukabidhi, ujenzi wa madarasa 12, Dc asema Nyasa inatisha

Posted on: December 22nd, 2022

Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Tarehe 22/12/2022 imekamilisha ujenzi wa Vyumba 12 vya madarasa vitakavyotumiwa, na wanafunzi wa Kidato cha kwanza Wilayani hapa, na kukabidhi kwa Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mh. Aziza Mangosongo, Makabidhiano  yaliyofanyika katika Shule ya Sekondari Limbo Wilayani Nyasa,

 Akipokea madarasa hayo baada ya kukagua kwa niaba ya Serikali Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Aziza Mangosongo amempongeza Mkurugenzi Mtendaji wa  Halmashauri ya Nyasa Ndugu Jimson Mhagama kwa kusimamia Ujenzi wa Madarasa 12 Wilayani hapa,  na kukamilisha kwa asilimia 100 kwa viwango tarajiwa.

”Nimekagua madarasa yako vizuri yanapendeza na yanafaa kwa matumizi, nakupongeza sana Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Nyasa kwa kusimamia vizuri ujenzi Huu wa madarasa kumi na mbili hakika unastahili pongezi”

Ameongeza kuwa kukamilika kwa madarasa hayo kutawafanya wanafunzi 4,452 waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza kuwa na miundombinu bora ya kujifunzia itakayowapa wanafunzi hao ari ya kujiunga na masomo ya sekondari, wakiwa na madarasa mapya na madawati mapya.

Ametoa wito kwa jamii kuilinda na kuitunza miundombinu hiyo ili iweze kudumu kwa muda mrefu na kuhakikisha, wale wote waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza 2023 Wilayani Nyasa wajiunge bila kisingizio chochote .

Awali, akiwasilisha Taarifa ya Ujenzi wa vyumba 12 vya Madarasa, Mkurugenzi Mtendaji  wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Ndugu Jimson Mhagama, amesema Halmashauri ilipokea kiasi cha shilingi Milioni 240,000,000 kwa ajili ya ujenzi wa madarasa kumi na mbili ya kidato cha kwanza 2023 kwenye shule sita ambazo ni, Luhangarasi (3) Kilumba( 1) Limbo( 3) Mnika Mbega Kata ya Mbaha( 2) Nyasa( 1) na Liparamba( 2)

Aidha amemshukuru  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani DKT Samia Suluhu Hassan kwa kuipa miradi ya maendeleo Wilaya ya Nyasa ili kutatua changamoto ya upungufu wa vyumba vya madarasa ya kidato cha kwanza 2023.

Imeandaliwa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini

Wilaya ya Nyasa.

Announcements

  • TANGAZO la nafasi ya kazi February 03, 2023
  • ORODHA ya Watumishi wanaodai malimbikizo ya Mshahara February 08, 2023
  • TANGAZO LA KAZI NYASA DC (MTENDAJI WA KIJIJI) August 18, 2021
  • TANGAZO LA KULIPA KODI YA ARDHI August 30, 2021
  • View All

Latest News

  • MV MBEYA II

    March 23, 2023
  • Wizara ya Afya yatoa mafunzo ya kuzuia na kupambana na magonjwa ya Mlipuko Wilayani Nyasa

    March 21, 2023
  • Nyasa yapewa milioni 800 Hospitali ya Wilaya ya Nyasa.

    March 21, 2023
  • Wananchi Nyasa waishukuru Serikali Kwa kufungua Barabara

    March 17, 2023
  • View All

Video

NYASA yafunguka Kimataifa
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.