• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

HALMASHAURI ya Nyasa yatoa Mafunzo ya miradi ya ajira za muda kwa Walengwa TASAF

Posted on: April 20th, 2022

Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Tarehe 20.04.2022, imeanza kutoa mafunzo  kwa Wataalam wa Kisekta yenye lengo la kuwajengea Uwezo wa Uibuaji wa Miradi ya Ajira ya Muda  kwa walengwa, chini ya Mpango wa kunusuru kaya maskini TASAF Awamu ya Tatu kipindi cha pili, na Uendelezaji wa Miundombinu kwa Wilaya ya Nyasa.

Mafunzo haya yanafanyika katika Ukumbi wa Kepten John Komba ,Mbamba bay Wilayani Nyasa, na kushirikisha Washiriki 46 kwa siku sita, kutoka Sekta za kilimo ,Maji,maendeleo ya Jamii,misitu ,Mifugo , Uvuvi, maji, barabara.

Akifungua Mafunzo hayo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Ndugu Jimson Mhagama, amewataka washiriki kujifunza kwa  kusikiliza vizuri mafunzo wanayopewa, ambayo yatawajengea uwezo wa kwenda kutekeleza majukumu yao na kutoa huduma bora kwa wananchi

Ameongeza kuwa wananchi wanahitaji wapewe elimu nzuri, ili waweze kuibua miradi itakayowapa maendeleo na Washiriki hao wakawafundishe wananchi kuibua miradi ili waweze kupambana na umaskini.

Awali akitoa Taarifa ya Mafunzo hayo kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bw Ladislaus Mwamanga, Mwezeshaji Dismas John amesema Lengo la Mafunzo ni Kujenga Timu ya Wataalam wa kisekta mbalimbali ili waweze kuibua,kuandaa, kutekeleza na kusimamia  Miradi ya kutoa ajira za muda kwa Walengwa wa TASAF, ili kuhakikisha uandaaji na utekelezaji wa miradi unazingatia viwango vya kisekta na ubora unaokubalika.

Aidha amesema, Lengo la Miradi ya kutoa ajira za Muda inalenga kutoa ajira kwa kaya maskini wakati wa kipindi cha hali ya wanakaya hao, wasiwaze kuuza raslimali walizonazo kwa ajili ya kupata fedha, kuwezesha Miundombinu ya jamii, kuwezesha ujira wa kaya utakaowasaidia kuongeza kipato na kupunguza Umaskini.Walengwa watakaoshiriki utekelezaji watapata Ujuzi kupitia Miradi itakayotekelezwa na sifa ya kaya zitakazoshiriki utekelezaji wa miradi hii ni zenye watu wenye uwezo wa kufanya kazi na wenye umri wa kuanzia miaka 18 hadi 65.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • Tangazo la Mikopo October 09, 2025
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Maonesho ya Nane Nane Kanda za Nyanda za juu kusini , Mguu sawa Kuanza leo

    August 01, 2025
  • UTEKELEZAJI KAMPENI YA CHANJO YA MIFUGO YAANZA NYASA

    July 12, 2025
  • MAKUNDI SOGOZI YA WHATSAAP YAPASWA KUJADILI MAENDELEO

    July 12, 2025
  • DC MAGIRI AZINDUA RASMI BODI YA MAJI WILAYA YA NYASA

    July 12, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.