• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

HALMASHAURI YA NYASA YATOA MAFUNZO TARAFA YA MPEPO

Posted on: June 26th, 2020

Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa,  imeendelea  kutoa mafunzo ya afya kwa Maafisa Elimu kata,Walimu wakuu na Walimu wa Taaluma kwa Tarafa ya Mpepo, mafunzo yanayofanyika Shule ya  Sekondari Tingi Wilayani Nyasa.

Lengo la mafunzo hayo ni kuandaa na kuweka mazingira wezeshi, ya uthibiti wa maambukizi ya Ugonjwa wa Corona, katika Shule za Msingi, ikiwa ni maandalizi ya kufungua shule juni 29 mwaka huu.Mada zilizofundishwa ni pamoja na maandalizi ya mazingira kwenye Taasisi za elimu, uchunguzi wa afya, usafiri wa kwenda na kurudi shuleni na mazingira ya kujifunzia, mada zilizotolewa na watalamu wa afya kutoka  Wilayani Nyasa.

Pamoja na mafunzo hayo Afisa Elimu Msingi Wilaya ya Nyasa Bw. Saidi Kalima anatumia mafunzo hayo  kuwakumbusha majukumu yao walimu, na amewataka kufundisha kwa bidii na kumaliza mada walizotakiwa kufundisha kwa mwaka huu ili wanafunzi wafaulu kwa asilimia mia moja.

Aidha amefuta Ruhusa zote kwa walimu mpaka mwezi Desemba mwaka huu na kufafanua kuwa ruhusa ziatakazotolewa ni za ugonjwa na kifo. Mafunzo hayo yanaendelea kutolewa leo katika  Tarafa ya Ruhekei wilayani hapa na yatafanyika shule ya msingi Mbamba-bay.

Announcements

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI WILAYA YA NYASA April 18, 2023
  • Tangazo la kujiunga na jeshi la kujenga Taifa, (JKT) August 29, 2023
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Nyasa kuadhimisha Siku ya Ukimwi Duniani Kwa kupima V. V.U na kutoa Elimu ya ukatili wa kijinsia

    November 30, 2023
  • Dc Nyasa-Wasiopeleka watoto shule wajiandae kufungwa

    November 25, 2023
  • Timu ya wataalam kutoka Ofisi ya mkuu wa Mkoa Ruvuma yakagua miradi ya Maendeleo, yampongeza Ded Nyasa USimamizi miradi

    November 18, 2023
  • Mkurugenzi Mtendaji wilaya ya Nyasa awataka watumishi wa afya kutoa huduma Bora Kwa wananchi

    November 16, 2023
  • View All

Video

HAFLA YA UTIAJI SAINI MRADI WA UJENZI NA USANIFU BANDARI YA MBAMBA BAY
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.