• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

HALMASHAURI YA NYASA YATOA MAFUNZO KWA MAAFISA ELIMU KATA , WALIMU WAKUU NA WALIMU WA TAALUMA

Posted on: June 24th, 2020

Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa, leo imeanza kutoa mafunzo ya afya kwa Maafisa Elimu kata,Walimu wakuu na Walimu wa Taaluma kwa Tarafa ya Luhuhu , mafunzo yanayofanyika Shule ya msingi Lituhi Wilayani Nyasa.

Lengo la mafunzo hayo ni kuandaa na kuweka mazingira wezeshi, ya uthibiti wa maambukizi ya Ugonjwa wa Corona, katika Shule za Msingi, ikiwa ni maandalizi ya kufungua shule juni 29 mwaka huu.Mada  zilizofundishwa ni pamoja na maandalizi ya mazingira kwenye taasisi za elimu, uchunguzi wa afya, usafiri wa kwenda na kurudi shuleni na mazingira ya kujifunzia, mada zilizotolewa na watalamu wa afya Wilayani Nyasa.

Pamoja na mafunzo hayo  Afisa Elimu Msingi Wilaya ya Nyasa Bw. Saidi Kalima anatumia kuwakumbusha  majukumu yao walimu, na amewataka kufundisha kwa bidii na kumaliza mada walizotakiwa kufundisha kwa mwaka huu ili wanafunzi wafaulu kwa asilimia mia moja.

Aidha amefuta Ruhusa zote kwa walimu  mpaka mwezi Desemba mwaka huu.Mafunzo hayo yanaendelea kutolewa kesho katika Tarafa ya Mpepo na Juni 26 ni Tarafa ya Ruhekei  wilayani

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • UTEKELEZAJI KAMPENI YA CHANJO YA MIFUGO YAANZA NYASA

    July 12, 2025
  • MAKUNDI SOGOZI YA WHATSAAP YAPASWA KUJADILI MAENDELEO

    July 12, 2025
  • DC MAGIRI AZINDUA RASMI BODI YA MAJI WILAYA YA NYASA

    July 12, 2025
  • DKT.SAMIA AMWAGA TENA MAMILIONI YA MIRADI NYASA

    July 10, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.