• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Halmashauri ya Nyasa yapokea mifuko 13,501 ya mbolea kwa ajili ya wakulima wake

Posted on: November 2nd, 2024

Halmashauri ya wilaya ya nyasa hivi karibuni imefanya hafla ya kupokea mifuko13,501 ya mbolea  yenye thamani ya Tsh milioni 838,146,600itakayo wanufaisha wakuilima wa Vyama vya Ushirika  na Masoko (AMCOS) kutoka vyama kumi vya ushirika na Masoko Wilayani Nyasa.

Hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya AMCOS ya kingerikiti   ikiongozwa na mgeni rasmi Ndugu SALUMU MOHAMEDI ISMAIL  ambaye ni Katibu Tawala Wilaya ya Nyasa aliyemwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mh. Peres Magiri.

Akizungumza katika hafla hiyo, amewapongeza wana Ushirika kwa mafanikio ya kununua mifuko hiyo ya mbolea ambayo imewafanya kuwa na uhakika mkubwa sana wa kuzalisha mazao mengi ya  kilimo msimu wa 2024/2025 pia amewataka wakulima wasiojiunga na vyama vya Ushirika kujiunga kwa kuwa kuna mafanikio makubwa.

Ameongeza kuwa jambo hili ni jambo kubwa sana la kujenga Uchumi kwa kuwa umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu,  hakika leo tumeshuhudia umuhimu wa kuwa na Umaja ambapo tumefaulu, hivyo basi tunatakiwa kuendelea kuwa na ushirikiano huu ili tuweze kupata maendeleo zaidi..

Aidha amewapongeza sana kampuni ya Mwana Afrika kwa kuwa ndio watakosambaza mbolea wilayani Nyasa kwa bei ya Ruzuku. Amewataka Vion gozi wa Vyama vya Ushirika kutatua kero za wanachama na kuepusha malalamiko katika Vyama Vya Ushirika.

AMesema Serikali itaendelea kushirikia na Vyama vya Ushirika ili kutoa Hudu ma Bora kwa wananchi wa Wilaya ya Nyasa.

Kwa upande wa Wananchi wilayani Nyasa wameipongeza Serikali Wilayani Nyasa kwa kuhakikisha huduma ya pembejeo inawafikia wakulima kwa muda muafalka kabla ya kuanza msimu wa Kilimo hiyo ni wazi msimu huu utakuwa na mafanikio makubwa.

Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Nyasa Bw. Khalid Khalif amewapongeza wakulima hao na kuwataka waendelee kushikamana kwa kuujenga Ushirika wao ambao unawapa mafanikio makubwa.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • TAARIFA YA MAENDELEO YA JAMII

    June 26, 2025
  • KICHEKO CHATAWALA TAFRIJA YA KUWAAGA MADIWANI

    June 19, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.