• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

HALMASHAURI ya Nyasa yakamilisha ujenzi wa Vyumba 54 yakabidhi kwa Dc

Posted on: December 26th, 2021

Halmashauri  ya Wilaya ya Nyasa imekamilisha ujenzi wa madarasa 54, na kuyakabidhi kwa Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Kanali Laban Thomas leo tarehe 26.12.2020.

Hafla ya kukabidhi madarasa haya imefanyika katika shule ya Sekondari Mango iliyopo Kata ya Kihagara Wilayani Nyasa, na Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Nyasa Ndugu Jimson Mhagama ndiye, amemkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Kanali Laban Thomas,  madarasa hayo, ambayo yamejengwa, ikiwa ni utekelezaji wa Mpango wa maendeleo kwa ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya UVIKO 19 , kwa lengo la kutatua changamoto ya miundombinu ya elimu katika shule za Sekondari na vituo shikizi kwa shule za msingi.

Akizungumza wakati akipokea Madarasa hayo, Mkuu wa Wilaya ya Nyasa, amempongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Nyasa na wataalam kwa usimamizi bora wa Miradi hiyo, ikiwa imekamilika kwa asilimia 99 ikiwa kwenye viwango bora.

Ameongeza kuwa Madarasa hayo pamoja na uboreshaji wa miundombinu ya Elimu ikiwemo samani (viti na meza) utasaidia kupunguza na kumaliza changamoto za Miundombinu, pamoja na utoro kwa wanafunzi na kuongeza idadi ya wanafunzi watakaofanya vizuri katika masomo.

Ametoa Rai kwa jamii kutunza miundombinu hiyo na kuhakikisha wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na masomo ya kidato cha kwanza wanajiunga, na atawachukulia hatua kali za kisheria wazazi na wanafunzi ambao hawatajiunga na masomo kwa kuwa serikali imeshajenga Miundombinu ya majengo na madawati.

Awali akitoa Taarifa fupi ya makabidhiano Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Ndugu Jimson Mhagama amesema Utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa vyumba 54 vya Madarasa shule za Msingi na Sekondari umefikia asilimia 99 katika Halmashauri ya Nyasa na Utekelezaji wa Mradi huu umetatua changamoto kubwa ya upungufu wa miundombinu ya madarasa na madawati kwa kuwa Halmashauri ya Nyasa Mapato yake ya ndani ni Bilioni 1.2 hivyo isingeweza kutekeleza miradi hii kwa pesa zake za ndani.

Aidha amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh,Samia Suluhu Hassan kwa kuipa Nyasa fedha za kujenga miundombinu hii ya Madarasa na Madawati.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Karibu Mwenge wa Uhuru Wilayani Nyasa

    May 11, 2025
  • Mwenyekiti wa Tume huru ya Uchaguzi Tanzania akagua vituo vya kujiandikisha Nyasa.

    May 04, 2025
  • Dc Nyasa awataka madiwani na watendaji kubuni vyanzo vipya vya mapato

    April 30, 2025
  • DC Nyasa azindua Kituo kipya cha Mafuta

    April 26, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.