• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

HALMASHAURI YA NYASA KUUZA DAGAA KIMATAIFA

Posted on: May 31st, 2018


Halmashauri ya wilaya ya Nyasa inatarajia kuanza kutekelela mradi wa kuchakata,kuongeza ubora wa dagaa wanaopatikana ziwa Nyasa na kuwauza ndani na nje ya nchi  kwalengo la kuongeza mapato katika halmashauri.

Hayo yameelezwa na mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Dr Oscar mbyuzi  kwenye kikao cha baraza la madiwani kilichofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa John komba mjini Mbamba-bay wilayani  hapa.

Aliongeza kuwa halmashauri inakusudia kuanza kutekeleza mradi wa kuchakata na kuongeza ubora wa dagaa na kufikia soko lililoko nje ya Nchi ili kuongeza mapato katika halmashauri kwa kuongeza ubora wa dagaa kwa kuwakaanga katika ubora kwa kutumia teknolojia ambayo Veta na sido watafundisha na kuweka katika vifungashio  vya robo,nusu na kilo moja.

Aidha alifafanua kuwa halmashauri itanunua msimbomilia kutoka gsi na kuthibitishwa na mamlaka ya ubora Tanzania (tbs) kufanikisha kila robo kilo ya dagaa Nyasa baada ya kuwachakata kuuzwa kwa kiasi cha shilingi2500/=

Mradi huu utafanyika ndani ya wilaya ya Nyasa na utagharimu kiasi cha fedha billion moja(1,000,000,000/= fedha ambazo zitaombwa Wizara ya fedha na mipango kwa mwaka wa fedha 2018-2019.

Mkurugenzi Mbyuzi alizitaja faida ya mradi huu kuwa utaongeza mapato ya ndani halmashauri kwa asilimia saba ya mapato yote ya ndani.  

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • TAARIFA YA MAENDELEO YA JAMII

    June 26, 2025
  • KICHEKO CHATAWALA TAFRIJA YA KUWAAGA MADIWANI

    June 19, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.