• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

HALMASHAURI KUU YA CCM WILAYANI NYASA YARIDHISHWA NA TAARIFA YA UTEKELEZAJI

Posted on: October 22nd, 2023

MKuu wa Wilaya ya Nyasa MH. Filberto Sanga Tarehe 21/10/2023 amewasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) 2020-2025 Kwa kipindi Cha mwezi  January -juni 2023 Kwa Halmashauri kuu ya ( CCM) Wilaya ya Nyasa, katika Ukumbi wa Kepten John Komba Mbamba bay Wilayani hapa.

Lengo la kuwasilisha Taarifa hiyo ni kutoa taarifa ya utekelezaji wa shughuli na miradi mbalimbali  ambayo imetekelezwa na Serikali Wilayani Hapa.

Akiwasilisha Taarifa hiyo amempongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa, Bw Khalid Khalif,Wakuu wa Idara na Vitengo,Waheshimiwa madiwani na wananchi kwa Ujumla kwa kushiriki na kutekeleza miradi ya maendeleo wilayani Nyasa.

“Nachukua Fursa hii kumpongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashuri ya Wilaya ya Nyasa kwa ushirikiano na usimamizi makini wa Miradi ya Maendeleo Wilayani Nyasa pamoja na wananchi,wakuu wa bIdara na Vitengo na Viongozi wote wa Wilaya ya Nyasa”

Halmashauri kuu imepokea Taarifa na kuridhishwa na Utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi wilayani Nyasa.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Wilayani Nyasa amesema amekuwa akifuatilia utendaji kazi wa Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi Mtendaji na kubainim kuwa ni wachapakazi na mara nyingi wamekuwa wakitumia muda wao kutatua kero za wananchi na kufuatilia miradi ya Maendeleo.

Halmashauri kuu imempongeza Mkuu wa wa Wilaya ya Nyasa,Mkurugenzi Mtendaji, na Mbunge wa Wilaya ya Nyasa,Mhandisi Stella Manyaya kwa kuhakikisha Wilaya ya Nyasa inakimbia kwa maendeleo.

Kwa Ufupi Halmashauri kuu imeridhishwa na

1.Utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika Sekta ya Afya na Elimu

2.ujenzi wa barabara

3.miradi ya Maji

4.kusambaa kwa umeme vijiji vyote

5.Utawala Bora

6.kutembelea Miradi ya Maendeleo.

7.kusikiliza kero za wananchi na kutatua kila kata.

Hata hivyo Halmashauri kuu imemtaka Mkuu wa Wilaya ya Nyasa kuongeza kasi zaidi ya utendaji kazi na kutobweteka na mafanikio aliyopata.

Kwa namna ya pekee wamempongeza Mh. Rais Samia Suluhu Hassan kw kuipa Nyasa miradi ya maendeleo na kuahidi kuwa wanadeni nae ifikapo 2025 watampa kura zote.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.