• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

MBUNGE WA JIMBO LA NYASA Eng.STELLA MANYANYA AKABIDHI VIFAA VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA WILAYANI NYASA.

Posted on: May 8th, 2017


Mbunge wa Jimbo la Nyasa na Naibu Waziri wa Elimu,Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi Eng. Stella Manyanya  amekabidhi vifaa vya msaada kwa ajili ya vituo vya kutolea huduma za afya  wilayani Nyasa, Vifaa vilivyokabidhiwa ni pamoja na utrasound, Vitanda Vya kisasa vya kujifungulia na  kupumzikia, wool chair(viti vya kusukuma wagonjwa),Kompyuta seti 20 pamoja na vifaa vingine vya afya.

Katika hadhara hiyo ambayo pia ilihudhuriwa na Kaimu Mkuu wa wilaya ya Nyasa Bw. Juma Homera, Mkurugenzi Mtendaji wilaya ya Nyasa Dkt.Oscar Mbyuzi, Katibu wa Chama cha mapinduzi Wilaya na Mbunge wa Viti maalum Bi.Sikudhani Chikambo,  Mh. Manyanya aliwashukuru Wahisani waliowezesha upatikanaji wa vifaa hivyo muhimu kwa ajili ya afya za wananchi wa Nyasa kwa kuwa uwepo wa vifaa hivyo unapelekea sasa huduma za upasuaji kuanza kutolewa katika kituo cha afya cha Mbamba bay na hivyo kuwaondolea usumbufu mkubwa wananchi wa nyasa hasa Wanawake wajawazito.

Nae Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Bw.Juma Homera  aliwasisitiza wahudumu wa afya pamoja na wagonjwa kutumia vifaa hivyo kwa uangalifu na umakini  ili viweze kutumika kwa muda mrefu na kuwa suruhisho la tatizo katika vituo vya afya.

Aidha Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Nyasa aliahidi kuhakikisha kuwa vifaa hivyo vitatumika kwa umakini na uangalifu Mkubwa  na kuwasisitiza Madaktari, Manesi ,wahudumu wa Afya na Wagonjwa kuunga mkono jambo hili.

Sambamba na hili Mh Mbunge wa Nyasa alisisitiza wananchi wa Nyasa kuweka mazingira safi kwa kauli mbiu isemayo ‘NYASA MARIDADI’  ili kujiepusha na maradhi. Aidha wananchi wa Nyasa wamefurahishwa sana na huduma wanazoenda kuzipata baada ya kuletewa vifaa katika vituo vya afya , pia wamehamasika kwa kiasi kikubwa  na kauli mbiu hii ambayo itakuwa ni chachu ya usafi katika mazingira ya Nyasa.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.