• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

DKT. NDUMBARO AWATAKA WATUMISHI KUTOA HUDUMA BORA

Posted on: January 23rd, 2021

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, Dkt.Laurean Ndumbaro amewataka watumishi wa Umma Nchini, kutoa Huduma Bora, na kuwatumikia wananchi kwa kutatua changamoto zinazowakabili ili wapate maendeleo.

Ameyasema hayo mwishoni mwa wiki hii, alipokuwa akizungumza na watumishi wa Wilaya ya Nyasa katika Ukumbi wa Kapten John Komba, alipofanya Ziara ya Kikazi Wilayani Nyasa yenye lengo la kusikiliza na kutatua changamoto za watumishi Wilayani hapa.

Dkt. Ndumbaro amefafanua kuwa, Serikali ya awamu ya Tano inawategemea sana watumishi wa Umma, katika kila eneo la utoaji Huduma, ili waweze kutoa huduma bora kwa wananchi ambao kodi zao ndizo zinawalipa mishahara, hivyo wana kila sababu ya kuhakikisha kuwa wananchi wanapewa huduma bora ili waipende Serikali yao.

Amewaagiza watumishi wa Umma kutoa huduma bora kwa kila mtumishi kutokana na Taaluma yake kwa wakati, kwa lengo la kuwajibika na kutatua kero za wananchi ili wananchi waweze kupata maendeleo.

“Napenda kuwakumbusha sisi ni Watumishi wa Umma, hivyo tuna kila sababu ya kuwapenda wananchi na kuwatumikia, na yeyote anayehitaji huduma katika Ofisi za Umma, apate huduma bora, na kila Mtumishi atoe Huduma, kulingana na Taaluma yake kwa kuwa wananchi hawa kodi zao wanazolipa, ndizo zinatulipa Mishahara. Aidha serikali ya awamu ya Tano imedhamiria Kutoa Huduma Bora kwa Wananchi hivyo kila Mtumishi wa Umma ajione analazimika kuwahudumia wananchi, na tunatakiwa kufahamu, sisi sio wafanyakazi wa Umma bali ni Watumishi wa Umma”.

Alisema, na kuwataka wakuu wa Idara na Vitengo kuwahudumia watumishi wanaofika kupata huduma katika Ofisi zao kwa haraka ili nao wakatoe huduma katika Sehemu zao za kazi kwa kuwahudumioa wananchi ipasavyo.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Bw Jimson Mhagama amempongeza Katibu Mkuu wa huyo kwa kufanya Ziara katika Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa na kumuahidi yote aliyoyaagiza kama Mkuu wa Taasisi, atasimamia na kuhakikisha Watumishi wanawajibika ipasavyo ili kuwepo na Utawala bora na kuongeza kasi ya ukuaji wa uchumi kwa wananchi wa Wilaya ya Nyasa.

Kero zilizotolewa na watumishi wa Wilaya ya Nyasa ni upandaji Madaraja, ulipwaji wa fedha za kujikimu wakati wa Uhamisho na Likizo.

 Aidha Katibu Mkuu amezichukua kero hizo kwa ajili ya kuzifanyia kazi na kuzitatua Changamoto hizo kwa kuwa Serikali inawajali watumishi wa Umma na wananchi kwa Ujumla

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.