• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

DED Nyasa wataka watumishi wa Afya kutoa Huduma Bora kwa wananchi

Posted on: September 4th, 2024

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Bw. Khalid Khalif amewataka Watumishi wa Afya kutoa Huduma Bora kwa wananch,i kwa kuwahudumia na kutumia Mfumo wa GOTHOMIS katika Vituo vyote vya kutolea Huduma za Afya Wilayani hapa.

Ameyasema hayo Tarehe 04/09/2024 akiwa katika ziara ya kikazi ya kutembelea na kukagua miradi ya maendeleo, kusikiliza na kutatua kero za  watumishi katika Kituo cha Afya Mbamba bay, Kihagara na Zahanati ya Mbuyula.

Bw Khalif amefafanua kuwa watumishi wa Sekta ya Afya ni wafanyakazi muhimu sana wanaotatua kero za wananchi, katika sekta hiyo ni muhimu wawe wakarimu,wanaomsikiliza mteja,na kutatua changamoto zinazowakabili wananchi ili maendeleo yaweze kukua.

“Nachukua fursa hii kuwasihi watumishi wenzangu, kuwahudumia wananchi kwa viwango vya hali ya juu, ili kuchochea maendeleo, hivyo basi ninawaagiza mtoe huduma bora kwa wananchi na wananchi wafurahie huduma zenu kwa kuwa tumeajiriwa kuwatumikia wananchi hawa”.

Ameongeza kuwa wananchi wanapofika katika Vituo vya afya wapokelewe na wahudumiwe Vizuri kwa lengo la kutoa huduma bora na kupunguza malalamiko ya wananchi.

Hata hivyo amemwagiza Mganga mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Dkt John Mrina kuhakikisha huduma zote za afya zinatolewa kwa Mfumo wa GOTHOMIS kuanzia mteja anapopokelewa hadi anapoishia.

Aidha amewaambia Watumishi, Serikali inaendelea kutatua changamoto zinazowakabili hivyo amewataka kuendelea kutoa huduma bora kwa wanachi wakati serikali inaendelea kutatua changamoto mbalimbali.

Amekagua Vituo vyote kuanzia mapokezi,Chumba cha Daktari,Maabara Wodi na Stoo za dawa pamoja na Duka la Dawa ili kujiridhisha na huduma zinazotolewa katika vituo hivyo.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.