• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

DED NYASA awataka Watumishi kukusanya mapato ili kutatua changamoto za kimaslahi

Posted on: February 8th, 2024

MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa, Bw.Khalid Khalif amewataka watumishi wa Umma kushiriki zoezi la ukusanyaji mapato ya ndani ya Halmashauri na kuziba mianya ya utoroshaji mapato, ili kukusanya na kuongeza mapato ili aweze kuwalipa stahiki zao za kiutumishi.

Ameyasema hayo Tarehe 07/02/2024 katika kikao cha baraza la Wafanyakazi kilichofanyika Ukumbi wa Halmashauri ya wilaya ya Nyasa na kuhudhuriwa na viongozi wa vyama vya wafanyakazi,Wakuu wa Idara na wawakilishi wa  Wafanyakazi.

Bw. Khalid amefafanua kuwa ili Halmashauri iweze kuwalipa Stahiki wafanyakazi, inategemea kukusanya mapato ya Ndani, hivyo ni wajibu wa kila mtumishi  kuhakikisha mapato ya Ndani yanakusanywa na kuziba mianya ya utoroshaji mapato ya ndani ili fedha inapokusanywa kikamilifu Mkurugenzi alipe stahiki za wafanyakazi za Likizo,safari na uhamisho na matibabu.

“Suala la kukusanya mapato ya ndani ni la kwetu sote watumishi, na hakuna anayependa mtumishi asilipwe stahiki zake, Niseme tu kwamba kila mtumishi popote alipo ahakikishe anakusnya mapato kwa kutoa taarifa mbalimbali zitakazoleta fursa ya kukusanya na kuziba mianya ya kutorosha mapato. Na kila Mtumishi anatakiwa kujua kuwa tegemeo kubwa la ulipaji stahiki tunategemea makusanyo ya mapato ya Ndani.”

Bw.Khalif amewapongeza watendaji wa Kata na Vijiji kwa kazi nzuri ya kukusanya mapato ya ndani kwa kuwa mpaka sasa wamekusanya asilimia 92 ya mapato ya ndani ambapo ni Bilioni 1.4 , wamefanya kazi nzuri na kubwa lakini  amewataka kuongeza juhudi zaidi, ili kufikia malengo ya kukusanya Bilioni 2.4 kwa mwaka wa fedha 2024/2025.Aidha kwa mwaka 2023/2024 bajeti ya Halmashuri ya Nyasa ya mapato ya Ndani nai tsh Bilioni 1.4 na kuweka bajeti ya tsh million 40 pekee kulipa madeni ya Watumishi na deni ambalo watumishi wanadaii ni billion 1.2.

Amewataka Watumishi kuendelea kufanya kazi kwa Juhudi na maarifa na kujiinua kazi zao kwa kutoa huduma bora kwa wananchi.

Kwa upande wake Baraza la wafanyakazi wa Halmashauri ya Nyasa limempongeza mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Nyasa Bw. Khalid Khalif kwa mikakati ya kulipa Stahiki za wafanyakazi, na kupandisha kiwango cha kulipa watumishi hodari wa mwaka hadi shilingi laki tano kutoka Laki mbili, Hali ambayo imewahamasisha na kuongeza hali ya  kufanya kazi kwa bidii.

 

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.