• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Ded Nyasa awahamasisha wananchi kushiriki kikamilifu utekelezaji miradi

Posted on: February 17th, 2025

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Bw. Khalid Khalif tarehe 16/02/2025 amewataka wananchi kushiriki kikamilifu katika ujenzi wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika maeneo yao.

 Ameyasema hayo katika kijiji cha Uhuru, Kata ya Mipotopoto Tarafa ya Mpepo wilayani Nyasa,  akiwa katika ziara yenye lengo la kukagua Miradi ya maendeleo na kusikiliza na kutatua kero za wananchi.

Bw. Khalid amefafanua kuwa ili miradi itekelezwe vizuri wananchi wanatakiwa kushiriki katika utekelezaji wa miradi, ili kuwajengea umiliki na kusimamia vizuri miradi hiyo ikiwa ni pamoja na kufanya kazi mbalimbali kama kubeba mawe, kuchimba mchanga na kazi zingine ambazo jamii zinatakiwa kufanya.

“Ndugu wananchi nimefika nleo katika kijiji hiki kwa lengo la kukagua miradi ya maendeleo na kuona kwa macho mmefikia hatua gani. Binafsi nawapongeza nimeona maji ya bomba mmeleta eneo la ujenzi mawe yameanza kuja, na usafi unaendelea hii ni jinsi ambavyo mnaonyesha ni jinsi gani mko tayari kutekeleza mradi wa  ujenzi wa shule yetu ya msingi Uhuru.”

Aidha amewapongeza wananchi kwa kuitikia na kuwa tayari kutekeleza mradi huu kwa kuwa serikali imetoa tsh milioni 331 kwa ajili ya kutekeleza mradi huu na kuwataka kusimamia vivaa vyote vitumike vizuri kwa kutekeleza mradi na kusitokee wizi wa aina yoyote ikiwa ni pamoja na kumaliza kwa wakati.

Kwa upande wake wananchi wa Kijiji cha Uhuru wameishukuru Serikali kwa kutoa fedha za kutekeleza maradi huu na kuahidi watasimamia vizuri na kumaliza kwa wakati.

Miradi mingine iliyotembelewa na Mkurugenzi Khalid ni Mradi wa ukamilishaji wa madarasa Shule ya Seekondari shirikisho ambayo amemtaka fundi kuongeza kasi ya ujenzi kwa kuleta mafundi wengine na kumaliza mradi haraka, na ujenzi wa Daraja la Mto Ruvuma linalounganisha Wilaya ya Songea na Wilaya ya Nyasa.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • UTEKELEZAJI KAMPENI YA CHANJO YA MIFUGO YAANZA NYASA

    July 12, 2025
  • MAKUNDI SOGOZI YA WHATSAAP YAPASWA KUJADILI MAENDELEO

    July 12, 2025
  • DC MAGIRI AZINDUA RASMI BODI YA MAJI WILAYA YA NYASA

    July 12, 2025
  • DKT.SAMIA AMWAGA TENA MAMILIONI YA MIRADI NYASA

    July 10, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.