- Home
- About Us
- Services
-
Administration
- Organization Structure
-
Departments
- primary education
- secondary education
- planning,statistics and monitoring
- Agriculture,Irrigation and Cooperative
- Community Development, Social Welfare and Youth
- Administration and Personnel
- Works and Fire Rescure
- Environmental and Sanitation
- Livestock and Fisheries
- Water
- Land and Natural Resource
- Health
- Unity/Sections
- Full Council
- Publications
- Media Center
- Projects
Serikali imetoa TSH milioni 560,552,827 Kwa ajili ya kutekeleza miradi wa shule mpya ya kisasa Sekondari Linga, Kwa ajili ya kutatua changamoto ya wanafunzi waliokuwa wanasafiri umbali mrefu kwenda kusoma katika shule ya Sekondari Lituhi na kutembea umbali wa kilometa 25.Akiwa katika eneo Hilo amehakiki mipaka ya eneo Hilo nakuonana na viongozi wa Kata na vijiji vya Lukali, Ngingama na Litumba kuhamba na kuwataka kushiriki kikamilifu zoezi la ujenzi wa Sekondari hiyo.